Papa Mapao,VoiceOfReason kwa kuongezea, asilimia kubwa ya wachezaji walioondoka Man U ukiondoa kiwango cha mpira, wengi waliondoka sababu ya Personal issues, nakubaliana na wewe khs hili,we kumbuka kile kitendo cha Sir Alex kumpiga kiatu usoni mwa David Beckam mpaka akamchana ngozi,hicho kitamfanya Beckam aendelee kubaki Man U under Sir Alex,mpaka aondoke SAF Beckam nina hakika atarudi Man U, Jaap Stam naye alikumbwa na upepo wa Ferguson bila kutarajia na ndo maana alimpaka huyo manager huku tayari alishaondoka pamoja na kwamba Stam ni beki mzuri sijui kama amestaafu, kwa Wenger sijaona bifu na wachezaji wake, ni kocha anayeweza kuishi na kila mchezaji, wachezaji wote walioondoka hakuna hata mmoja aliyempaka Wenger, nakubaliana na VoiceOfReason kwamba Wenger ni kocha mbunifu management ya soka kwa upande wa wachezaji! Wenger anapokuwa katika kipindi kigumu mara nyingi hutumia busara zake kuwatuliza wachezaji, lkn Ferguson wakati mwingine hasira zae utaziona waziwazi mpaka unaogopa! Cristiano nadhan alikimbia sababu hiyo!
Bado unakwepa request yangu TUWEKEE STATS ZA KUANZIA FERGIE ALIVYOINGIA MAN UTD NA ZA WENGER ARSENAL MPAKA LEO, i)manunuzi ii)mauzo iii)faida inayopatikana baada ya timu kuchukua makombe etc etc ili tulinganishe wenyewe faida na hasara.Mkuu miaka sita iliyopita ndio angalau itakuwa favourable kwa fergie sababu ya kuuzwa kwa Ronaldo, for 80m apart from that imekuwa ni hatari tu kwa Fergie, kina Veron, Djemba Djemba, Kleberson e.t.c,
Sidhani kama kuna ubishi kwamba kati ya signings za Fergie na Wenger ni zipi zimeleta faida zaidi kama nilivyoweka kwenye jedwali langu hapo juu, au ngoja nikukumbushe..., Anelka, Overmass, Pires, Henry, Adebayor, Toure, hizi zote baada ya kuuza zilileta massive amounts of cash..., na issue ya kubring more out of average players????? How about this one for size, Diego Forlan alivyokuwa United alifanya nini na alivyoondoka amefanya nini..., alafu niambie ni mchezaji gani ambaye career yake imekuwa better baada ya kuondoka Arsenal
Bado unakwepa request yangu TUWEKEE STATS ZA KUANZIA FERGIE ALIVYOINGIA MAN UTD NA ZA WENGER ARSENAL MPAKA LEO, i)manunuzi ii)mauzo iii)faida inayopatikana baada ya timu kuchukua makombe etc etc ili tulinganishe wenyewe faida na hasara.
Unakimbilia akina Forlan umesahau akina Solskjer, Sheringham, Valencia, Yorke hawa wote walikuwa average players prior to joining Man Utd lakini angalia walichofanya baada ya kujiunga. Kuna watu kama akina O'shea, Evans, Gibbson hao sio wachezaji wa kucheza kwenye Premier League lakini angalia SAF alivyowageuza.
Kama alivyosema Belo hapo juu, angalia replacements za wachezaji wote walioondoka Man Utd and this goes way back kuanzia miaka ya kina Lee Sharpe, Kanchelskis, Ince mchezaji pekee ambaye tumeshindwa kumreplace ni Kean na tulishindwa kumreplace Schmeichel ila idara nyingine zote mambo yalikuwa mazuri, sasa ukiangalia Arsenal mpaka leo hamjamreplace Viera, Henry, Sol Campbell, Gallas etc etc.
Hata mimi timu yako ni ya hapa mtaani hata ligi haijaingia, lakini nimeona tuongelee ukweli wa talent ya huyu bwana Wenger kuweza ku-uncover talentMwenzenu mmeniboa, timu yangu mie ni majimaji ya songea
Villa, Tottenham ni average club ambazo zinabahatika kupata wachezaji wazuri, kuna mtu alikuwa anamjua Solskjer wakati anachezea Molde? Alafu hakuna aliyesema Berbatov ni average player kwa hiyo futa hiyo kauli yako.Mkuu sasa naona unaongea tu ili kujaza kurasa....,
Yorke kabla ya kuja United alikuwa Villa ambao ndio walimgundua na alifanya vizuri sana Villa ndio Sir Alex akamnunua and that goes to all Sheringham; na Super Sub Solskjer, na watu kama Valencia na Berbatov walikuwa wanacheza vizuri sana before kuja United ndio maana Sir Alex akawanunua
Sasa mkuu utapata vipi faida kama hufiki mbali kwenye Champions League, hushindi vikombe? Au nyie wenzetu mnategemea kuuza wachezaji tu? Kweli anayewaita feeder club a la West Ham hajakosea maana mna uncover raw talent na kuturn them into finished article club nyingine zinakuja zinawabeba nyie mnabaki kujisifia tuna uncover talent.Profit ya Timu inakuja kwa mambo mengi entrance ya uwanja, matangazo, television, mauzo ya jezi, Champions league, how far you reach kwenye league na transfer ya wachezaji na kama umenisoma nimekwambia due to united kujaza uwanja wao kila siku, mapato mengine wanapurchasing power kuliko Arsenal..., Ila Wenger sababu hana hiyo purchasing power amekuwa akitumia Magic Touch yake kununua Raw Talent and Turning it into Diamon..
You eloquently said Wenger ni mahili wa kuvumbua vipaji na kuviendeleza sasa kwa nini asivumbue akina Henry na Viera wengine?Replacing Henry and Viera???, Dont make me laugh The Viera's and Henry dont grow on Trees especially kama Wenger hana pesa za kuwanunua kina Wayne Rooney (ambaye hata kipofu alidhani kwamba ndio atakuwa next Pele) au labda angekuwa na 30m angemchukua Rio Ferdinand.., Alafu si kweli Arsenal haijamreplace Gallas Arsenal Best defence yao ilikuwa ya kina Martin Keown, Dixon na Tony Adams; na kipa David Seaman
Star players wenu wote walikuwa uncovered na nurtured na timu nyingine kabla hawajaja Arsenal Samir Nasri (Marseille) Cesc Fabregas (Barcelona) Theo Walcott (Southampton) Robin Van Persie (Fayenoord) and the list goes on, kocha wenu baada ya kuona wana potential ndio akawanunua, unlike wachezaji kama Jack Wilshere ambaye amepitia Arsenal academy tangu the age of 9.Kwahiyo Wenger ndio mtu pekee ambaye ambaye time and time again anabadilisha the Unknowns To World Beaters..... HENRY, TOURE, VIERA to name just a few na lazima ujue kuwa Sir Alex angejua how this people would turn out Arsenal isingeweza kuwapata due to buying Power ya United mfano mzuri ni Rooney Manager wengi walimtaka na alikuwa hataki kuondoka Everton lakini money talks...
Faida ya Wenger imepatikana vipi..??? takes time to build a team na katika muda wa Wenger ameweza huku akiwa na funds kidogo kuhakikisha Arsenal wanaamia kwenye uwanja mpya na kutransform the way they used to play... its takes time to build a team hata hiyo Barcelona unayoisema hivi ilikaa miaka mingapi bila kuchukua kombe mpaka sasa ilivyotengeneza this World beating team??Yet again naona umekwepa request, kwa hiyo succinctly put Wenger ni talent scout mzuri?
Villa, Tottenham ni average club ambazo zinabahatika kupata wachezaji wazuri, kuna mtu alikuwa anamjua Solskjer wakati anachezea Molde? Alafu hakuna aliyesema Berbatov ni average player kwa hiyo futa hiyo kauli yako.
Sasa mkuu utapata vipi faida kama hufiki mbali kwenye Champions League, hushindi vikombe? Au nyie wenzetu mnategemea kuuza wachezaji tu? Kweli anayewaita feeder club a la West Ham hajakosea maana mna uncover raw talent na kuturn them into finished article club nyingine zinakuja zinawabeba nyie mnabaki kujisifia tuna uncover talent.
Kuna club inayoishinda Barcelona kwa kukuza vipaji kupitia academy? Lakini angalia kila mwaka wanastrengthen timu yao na experienced players kutoka timu nyingine.
You eloquently said Wenger ni mahili wa kuvumbua vipaji na kuviendeleza sasa kwa nini asivumbue akina Henry na Viera wengine?
30 mil kwa Rio Ferdinand imelipa, angalia tangu Rio ametua Man Utd wamechukua vikombe vingapi (faida yake imerudisha gharama za manunuzi yake) ukilinganisha na Arsenal tangu wameondoka akiina Tony Adams, Lee Dixon na Martin Keown..Na sasa hivi replacement ya Ferdinand ishapatikana in the name of Chris Smalling wakati nyie mnakimbilia kuwaleta watu kama akina Squillaci na Koscielny.
Star players wenu wote walikuwa uncovered na nurtured na timu nyingine kabla hawajaja Arsenal Samir Nasri (Marseille) Cesc Fabregas (Barcelona) Theo Walcott (Southampton) Robin Van Persie (Fayenoord) and the list goes on, kocha wenu baada ya kuona wana potential ndio akawanunua, unlike wachezaji kama Jack Wilshere ambaye amepitia Arsenal academy tangu the age of 9.
Mkuu you have underlined what I have been saying all along......, Arsenal haina purchasing power kama ya hizi timu nyingine na alishasema "he is not looking at passports to see where a player is coming from, he is just looking for talent, na English players are overpriced na kama unaona Walcot amechemka thats your opinion and you are entitled to it; Reyes alikuwa talent but he was home sick, na mapatano yalikuwa kwamba wenger hakulipa pesa zote sababu kulikuwa na clause ya mechi na makombe mangapi kama angeshinda nao ndio price ingekuwa as agreed.Huwezi kununua mchezaji bei ghali kutoka Ligue 1 hata siku moja labda kutoka Lyon,wachezaji ghali wanatoka England,Spain na Italy na Wenger hawezi kushindana na timu nyingine.Nasri,Sagna,Clichy,Chamakh,Wiltord,Pires,Adebayor,Toure,Squilaci,Koscienly,Flamini na wengineo.Wachezaji ambao Wenger amenunua kwa hela nyingi wengi wao wamechemka mfano Walcot,Reyes
It takes time to build a team, Wenger amekaa Arsenal tangu 1996 muda gani zaidi anataka? SAF kila baada ya miaka minne anajenga timu mpya ambayo inajumuisha wachezaji wazamani na wapya. It took SAF five years kabla hajachukua kikombe na Man Utd baada ya hapo he has never gone more than two season bila kikombe. FACT!Faida ya Wenger imepatikana vipi..??? takes time to build a team na katika muda wa Wenger ameweza huku akiwa na funds kidogo kuhakikisha Arsenal wanaamia kwenye uwanja mpya na kutransform the way they used to play... its takes time to build a team hata hiyo Barcelona unayoisema hivi ilikaa miaka mingapi bila kuchukua kombe mpaka sasa ilivyotengeneza this World beating team??
Unakataa nini na unakubali nini? Unataka kutuambia SAF uwa haoni potential za wachezaji?Need I list them? Eti World Beaters hivi Arsenal imteoa World Beaters wangapi? Wewe utakuwa na amnesia si bure. Kila kocha ana failure zake kwenye signings, you and I both know Wenger has had his fair share of flops vile vile lakini kwa kuwa umevaa miwani ya Arsenal ilo wewe hutaki kulikubali.Alafu point yako ya kusema star wote wa arsenal wanakuzwa na academy nyingine alafu wenger akiona potential anawanunua its a non starter ; Hivi kazi ya manager nini si ni kuona potential ya mchezaji???? au unadhani huwa kuna magic pill wachezaji wanapewa na from not having talent magically wanakuwa world beaters??? alafu hivi kuna zaidi ya ku-nurture talent than changing a winger into a top scorer striker (henry) na a midfielder into a good defender (Toure)???
Kwa hiyo kwenye statement yako juu hapo unataka kutuambia Rio Ferdinand ni flop at Man Utd?Therefore Wenger ndio aliofanya Arsenal kuwa hivi (the current Arsenal) kwa kubadilisha mfumo wanaocheza; na kuhakikisha project yao ya kuhama uwanja inafanikiwa (if you want to know how hard that is, waulize everton ambao mpaka leo wanajaribu..) and talking about spending 30m kwa defender who was 6m just a few years ago thats shows how a manager failed to see the potential...., vile vile what about the Taibi's Djemba Djemba, and the Kleberson.... man you must be blind to compare Wenger and Sir Alex when it comes to transfer market
Mkuu you either dont know your facts or you have got selected amnesia.... Took two years wenger tangia amekuja Arsenal kujukua kombe na mpaka hapo hajawahi kumaliza chini ya top four as well as kubadilisha arsenal wanavyocheza mpira na kuhakikisha Arsernal wanapata new ground... na ameweza kufanya hayo yote with his hands tied up kwa kutokuwa na funds kama watu anaoshindana naoWhat a load of steaming BS!!
It takes time to build a team, Wenger amekaa Arsenal tangu 1996 muda gani zaidi anataka? SAF kila baada ya miaka minne anajenga timu mpya ambayo inajumuisha wachezaji wazamani na wapya. It took SAF five years kabla hajachukua kikombe na Man Utd baada ya hapo he has never gone more than two season bila kikombe. FACT!
Lol washabiki wa Arsenal mnaniachaga hoi sana kwa hiyo kwa kuwa Barca walikaa miaka mitano bila kuchukua kikombe ndio inajustify failure ya manager wenu? Angalia katika kipindi cha 1999-2004 walibadirisha makocha mara ngapi? Kwa hiyo na wewe unategemea Wenger atatengeneza World Beating Team kwa kujaza wachezaji kama akina Squillaci, Bendtner, Diaby et al?
Unakataa nini na unakubali nini? Unataka kutuambia SAF uwa haoni potential za wachezaji?Need I list them? Eti World Beaters hivi Arsenal imteoa World Beaters wangapi? Wewe utakuwa na amnesia si bure. Kila kocha ana failure zake kwenye signings, you and I both know Wenger has had his fair share of flops vile vile lakini kwa kuwa umevaa miwani ya Arsenal ilo wewe hutaki kulikubali.
Kwa hiyo kwenye statement yako juu hapo unataka kutuambia Rio Ferdinand ni flop at Man Utd?
hawa wanakuchosha bure tu bingwa wa epl (19 times)... watu wakikosa mafanikio ya kweli... hawana cha kujadiri wanakuja na siledi za namna hii. Failure...... kujadiri kitu kisichokuwa na mashiko ktk timu!2010
Jul - Chris Smalling - Fulham - £7 million
Jul - Javier Hernández - Guadalajara - £6 million
Aug - Tiago Manuel Dias Correia (Bebe) - Vitoria de Guimaraes - £7.4m
Aug - Marnick Vermijl - Standard Leige - £300k
Jan - Danny Simpson - Newcastle United - £500 thousand
Jul - Zoran Tošić - CSKA Moscow - Undisclosed
Jul - Ben Foster - Birmingham City - £6 Million
Aug - Craig Cathcart - Blackpool - £500k
Aug - Rodrigo Possebon - Santos - Undisclosed
Mkuu unajua usemalo????hawa wanakuchosha bure tu bingwa wa epl (19 times)... watu wakikosa mafanikio ya kweli... hawana cha kujadiri wanakuja na siledi za namna hii. Failure...... kujadiri kitu kisichokuwa na mashiko ktk timu!
LMAO!!Okay Kwa kuweka hayo manunuzi utaona kwamba hata Wenger angetaka hizo pesa alizotumia Sir Alex kwa manunuzi Wenger asigeweza kuzipata Arsenal so he had to do it the Hard way...., 30m Rio; 27M Wayne Rooney, 18 Michael Carrick..., Thats a Luxury Arsenal and other teams can not afford unless you wanna go the Leeds United and Portsmouth Way..., Even Real Madrid kama sio Council yao kuwa-bail out now and then hiyo sio jinsi ya ku-run a football club