Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

Nimechelewa kuona alivyokosa penati. Dah Mjerumani kachachawa vs Mjerumani
 
kwa muonekano tu, Arsenal wakipata goli itakua ni kwa bahati tu, hawana mipango mizuri ya kupata goli(clear goal) ila Bayern Munich kwenye kudumbukiza mpira wavuni wanakua na kitete.
 
Ahhh tumeshakwisha. Monreal atakuwa uchochoro kama sio barabara. Gibbs ameshakuwa kama RVP na Diaby too injury prone.
 
alichokifanya Ozil sitasahau..duu hadi ari imeisha kabisa ule moto wa 15 mnts za mwanzo siuoni tena
 
kipa huyooo red cars my Good arsenal bas tena
 
Not quite over yet. Two missed penalties
 
nimeota tutashonda hii game mama yangu mzazi
 
Bayern Munich kelele za mashabiki wa Asernal uwanjani zinawachanganya, hawaoni lango.
 
nimeota tutashinda hii game mama yangu mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…