Uefa hamna kumbe mi nlijua kabeba hii ndoo aiseeeKwann Mod wanaruhusu nyuzi kama hizi?
Kizazi kibovu hiki kisichowaza, mnakuka sana sembe, akili zenu zimebungua,
Arsenal ilihitaji mabadiliko , lakin hiyo haizuii Wenger asiagwe vzr, maana ameifanyia klabu Makubwa
Epl 3
FA cup 7
Community shield 7
Kajenga uwanja wa mazoezi na emirates
Kaiweka timu katika Uchumi mkubwa na IPO NAFASI YA 6 KATIKA VILABU TAJIRI DUNIANI.
Kwanini Asiagwe vizuri? Ulitaka kisa mashabiki wa arsenal wamemchoka wenger, aagwe vibaya?
Shame on u