Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Imepekwa 60 yamegoma yanstaka tuwape na smith jumla, au tuvunje release clause yake €90mDooooh nmetoka kuliangalia hilo DAYOT OPAMECANO!!!!!!lina roho mbaya jaman....BULL DEFENDER LIKE COULIBALY
Haitawezekana kuwapa ESR, huyu dogo ni balaa tupu ana fujo za hatari!.. Baada ya miaka miwili mbele hawa madogo wa academy watatubeba sana.. Mimi naona bora tuvunje release clause yake kyliko kuwapa huyu dogo...Imepekwa 60 yamegoma yanstaka tuwape na smith jumla, au tuvunje release clause yake €90m
Kwa huyo Smith row itakuja kuwa kama ishu ya De bruyne kutoka Chelsea au Serge gnabry kwenda Bayern thn tukaanza kumtolea macho.Haitawezekana kuwapa ESR, huyu dogo ni balaa tupu ana fujo za hatari!.. Baada ya miaka miwili mbele hawa madogo wa academy watatubeba sana.. Mimi naona bora tuvunje release clause yake kyliko kuwapa huyu dogo...
Usijali £45m ipo inafanya kazi yakeHaitawezekana kuwapa ESR, huyu dogo ni balaa tupu ana fujo za hatari!.. Baada ya miaka miwili mbele hawa madogo wa academy watatubeba sana.. Mimi naona bora tuvunje release clause yake kyliko kuwapa huyu dogo...
Kwa Serge Gnabry tulifanya kosa kubwa sana!.. Siku hizi kila nikimuina anakipiga huko bundasliga roho inaniuma ile mbaya.Kwa huyo Smith row itakuja kuwa kama ishu ya De bruyne kutoka Chelsea au Serge gnabry kwenda Bayern thn tukaanza kumtolea macho.
Mustafi pia anatafutiwa soko asepe, Senior CB waliobak ni sokratis , chamber ,mustafi ,holding,Kwani beki tuliyonayo kwa sasa baada ya kuondoka Kos6 pale kati ni nani hasa? Mustafi kweli? Backline ifanyiwe kazi, otherwise no majanga tu.
Ni kweli tupu!ARSENAL WE HAVE PURE TALENTED FOOTBALLER
WILLOCK (time will tell but he is another patrick viera)
EDDIE NKETIA (born to score, yas! Another Thiery Henry...katika box yeye hanaga mambo mengi ni ball on the foot and ball to the net)
SMITH ROWE (this is friddie ljungberg +KDB)
Leave your comment,if am not wrong
Ljumberg anawajua sana hawa watoto ndio kamfungua macho emeryARSENAL WE HAVE PURE TALENTED FOOTBALLER
WILLOCK (time will tell but he is another patrick viera)
EDDIE NKETIA (born to score, yas! Another Thiery Henry...katika box yeye hanaga mambo mengi ni ball on the foot and ball to the net)
SMITH ROWE (this is friddie ljungberg +KDB)
Leave your comment,if am not wrong
Jamaa wameikataa £60m , sijui arsenal watapanda dau tenaUsijali £45m ipo inafanya kazi yake
Unai Kama hatomsajili Tierney acheze na backthree ikiwa atampata Upamecano, yaani upamecano,holding na Mustafi pia wing back acheze na kolasinac na belle. Mustafi naona kama bado ana kitu cha kuprove, obvious kwa beki ya upamecano na holding lazima atarudi kwenye mstari,Kwani beki tuliyonayo kwa sasa baada ya kuondoka Kos6 pale kati ni nani hasa? Mustafi kweli? Backline ifanyiwe kazi, otherwise no majanga tu.
Bila Upemecano tutaweza kweli? Dili la Rugani limefikia wapi?Unai Kama hatomsajili Tierney acheze na backthree ikiwa atampata Upamecano, yaani upamecano,holding na Mustafi pia wing back acheze na kolasinac na belle. Mustafi naona kama bado ana kitu cha kuprove, obvious kwa beki ya upamecano na holding lazima atarudi kwenye mstari,
Kulazimisha kucheza backfour without new LB ni majanga, kolasinac na Nacho huwa wanatengeza loopholes sana kwenye ule upande, kumuacha Tierney option ni kuadopt 3 at the back
Midfield Daniful na LT11
Front three kama kawaida sio lazima niwataje
ucl naiona msimu ujao.
Ljumberg anawajua sana hawa watoto ndio kamfungua macho emery
Kuna martinel mtoto yupo vzr , saka
Willock ni kama kashaaminiwa , kwa mwili wake nilijua hatatoboa , ila kaniprove wrong,
Eddie nketiah hanaga mambo mengi ,anajua kufunga tu
Ndio maana saka amesema kwa sasa hale end imetoa product nzuri View attachment 1174257
Hili dili kalikamatia Mendez, na Mendez anafanya kaz na wolves pia, wolves wapo tayari kutoa 30 euro mil, kwa RUGAN, Arsenal wanamtaka RUGAN kwa mkopo 2yrs,Bila Upemecano tutaweza kweli? Dili la Rugani limefikia wapi?
Denis bergkamp , sant carzola, sio rahis kupata hivi vipaji ,Zaid ninacho mpenda SMITH ROWE anakitu kinaitwa GOLDEN EYE (aina hii wachezaji hawafundishwi anazaliwa na hicho kitu tu)
BUKAYO SAKA-this is left focing winger namwona km WILTORD (waliomwona wanajua shuguli yake)
HV AROON HATUWEZ KUTENGENEZA MTU MWINGNE KM DENNIS BERGKAMP???
Upemacano Arsenal nimesikia wanaweza kutuma OFA nyingine , naona kama wamekomaa hapa arsenal , ila mwisho wa siku kuna ingizo la CBBila Upemecano tutaweza kweli? Dili la Rugani limefikia wapi?
Chambers ndio wakuondoka Arsenal mkuu, Mustafi inabidi apigwe benchi ili aanze upya, sychologically Mustafi kashaharibika, ni kawaida mpira upo hivyo Huyu jamaa namtetea nakumbuka wakati kaja alicheza vizuri sana,Mustafi apewe last chance.Mustafi pia anatafutiwa soko asepe, Senior CB waliobak ni sokratis , chamber ,mustafi ,holding,
Hivo kwa vyovyote vile pengo la kos litazibwa