Arsenal kumsaka mbadala wa koscenly
Klabu ya arsenal inamtazama kumsaini beki wa RB Leipzig
Dayot Upamecano kama mbadala wa koscielny masaa chache yajayo kabla ya dilisha la usajili kufungwa
The Gunners wako katika katika wakati mgumu kumsaka beki atakaye chukua nafasi ya mlinzi huyo kabla ya Alhamisi ya saa (12:00 ET usiku ) tarehe ya mwisho baada ya kukubaliana na Bordeaux kwa Laurent Koscielny.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33 yuko Ufaransa kwenda ufanyiwa vipimo vya Afya baada ya dau la milioni (£ 4.5m ) kuhamia katika kilabu cha Ligue 1 - na mpango unaotarajiwa kukamilika. ndani ya masaa 24 ijayo.
Arsenal walikuwa wakisita kumwacha nahodha wao aondoke, hata baada ya kukataa kusafiri na kikosi kwa safari ya pre_season kwenda Merikani.
Lakini baada ya kufanya raundi kadhaa za mazungumzo na mlinzi huyo wiki iliyopita, aliweka wazi kuwa alikuwa amedhamiria kurudi Ufaransa - kwa hivyo makubaliano yamekubaliwa na Bordeaux.
Pamoja na kuondoka kwa Koscielny sasa, Arsenal wanatafuta uingizwaji na wanavutiwa mlinzi w kati Upamecano mwenye umri wa miaka 20 wa RB Leipzig.
Taarifa imetolewa na klabu Leipzig beki Huyo Mfaransa anathamini karibu dola 70 wakati huo huo klabu hiyo inaendelea kumuwinda beki wa nyuma Juventus-Dani Rugani
Juve wanasita kumruhusu Rugani aondoke kwa sababu ya majeraha ya kuumia kwa Giorgio Chiellini,
Kwa upande wa Gunners bado inatarajia kufikia makubaliano na Celtic kwa beki wa kushoto Kieran Tierney, na mazungumzo yanaendelea na mabingwa wa Scotland juu ya muundo wa mpango wa pauni 25m ($ 30.5m).