Ni kweli, nilikuwa naangalia michezo yenu iliyobaki mwezi huu mingi si rahisi, ngoja tuone kama inaweza kutoonyesha if you're on the right path or still midebwedo.
Hahahaha!! Hivi kweli unathubutu kutuita midebwedo ukilinganisha na........ hahahah!! Okey ngoja nikae kimya tusubir the show.....
Hahahahaha lol!!! When it comes to MANU, I have seen the best, so it was easy for me to conclude that MANU's performance on that day was simply ....... Au unataka kuremba!? Lol!!!!!!
Tunune nini sasa wakati hatumo humo,ingekuwa labda EPL ndo tungenuna,nyie pasueni tu huko UEFA sisi tunawapigia makofi .
Hmmmmm! 🙂🙂 Hivi mara ya mwisho mlishiriki kwenye UEFA ilikuwa mwaka gani vile!?
Hahahahah!!! Kwenda zako!! Kwani ni siku nyingi sana? Na nyie mlioshiriki mna matunda gani ya kijivunia,lol
Khe Khe Khe Khe sizitaki mbichi hizi lol!!!! Hahahaha subiri hadi 2020 mtarudi tena kwenye UEFA 🙂🙂
Kwa Masaa haya machache Wenger naona kawa Saint, hajaguswa kabisa. Soccer soccer 😕😕😕
Hmmmmm!!! Kwa mpira mliocheza juzi heshima yenu mtaisubiri sana, pamoja na ushindi mnono lakini mlikuwa midebwedo tu si wale MANU tuliowazoea kuwaona wakitandaza soka la uhakika.
Hahahaha!!! Weeee thubutu! Msimu ujao tupo pamoja,halafu wewe nakuona unaweza usiwepo labda Wenger aondoke,lol
no matter what hapenned yesterday, wenger atuachie tm yetu
Prof akisubiri draw ya CL
Tutakwaana na moja kati ya hizi timu hapa chini
Atletico Madrid, Real Madrid, Monaco, Bayern Munich, Barcelona au Porto. Nimeambiwa Chelsick wamepangiwa kukwaana na PSG tayari, wamepata mteremko.
ulitaka Chelsea wapangwe na timu gani?, simple. logic, washindi wa kwanza kwenye groups wanacheza dhidi ya washindi wa pili,
nina wasi wasi kama huwa unatumia akili angalau kidogo kabla hujapost ujinga wako..
ulitaka Chelsea wapangwe na timu gani?, simple. logic, washindi wa kwanza kwenye groups wanacheza dhidi ya washindi wa pili,
nina wasi wasi kama huwa unatumia akili angalau kidogo kabla hujapost ujinga wako..
Umekimbilia huku Wacha kakuuliza mwaka huu mnatetea taji gani, umeshindwa kujibu chacha kuja hapa kono mbele wacha fujo khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hakuna hata shabiki wa Mafioso anayeweza kujibu hilo swali.
Babu Wenger kashinda Champions League mara ngapi?
Jibu lake ndo jibu na swali la Huyo mwehu.
Babu Wenger kashinda Champions League mara ngapi?
Jibu lake ndo jibu na swali la Huyo mwehu.