There are so many ways of killing a rat. Ukitaka kujua mashabiki wa timu fulani wewe wachokoze tu. watamwaga sera mmoja baada ya mwingine. Ninahisi crashwise, masanilo na mtm nyie arsenal!
There are so many ways of killing a rat. Ukitaka kujua mashabiki wa timu fulani wewe wachokoze tu. watamwaga sera mmoja baada ya mwingine. Ninahisi crashwise, masanilo na mtm nyie arsenal!
Come on arsenal!come on arsenal! knew we could come* back. no doubting wenger. arsenal rock
There are so many ways of killing a rat. Ukitaka kujua mashabiki wa timu fulani wewe wachokoze tu. watamwaga sera mmoja baada ya mwingine. Ninahisi crashwise, masanilo na mtm nyie arsenal!
Thax 4ur support.Yeah, Arsenal rock! With very beautiful last two goals! lol.
The second was offside and a handball. And looks like the keeper was fouled! Anyway, congratulation!
jamaa unatuchukia sana.lile goli la pili vagi lilotokea pale hivi unategemea weak handball kama hile kutolewa.na goli letu la tatu kwa vile tumefunga na goti ndio hujalipenda? timu zote zifunge scrappy goals but when arsenal do it ,its a problem.Yeah, Arsenal rock! With very beautiful last two goals! lol.
The second was offside and a handball. And looks like the keeper was fouled! Anyway, congratulation!
Poleni mabingwa watarajiwa, kina Richard,Yoyo,Kibunango,Balantanda,Shadow
Naona kabaki Mbu na Wenger peke yake
jinsi ya kurekebisha hizo mechi ni kuwafunga wote hao manu na man city wakija emirates.ni lazima kuwa funga hili tuweze kubalance matokeo.mi naona arsenal ikopoa,sema watu wanachukulia kupoteza hiz mechi mbili ndio kama arsenal haipati kombe,jamani kuna mechi 38,e utafunga zote.hiii safari kwa washabiki wazoefu hawatishiki.kwa uefa mi sina shaka ilia tu kwa hapo baadae offcouse mambo yatakua magumu ingawa tunaeza ku succeed,c unajue moute moute wa man,baka,madrid,chelsea na liver?lakini mi naamini mpira unadunda kombe tunauwezo wa kulibeba
yani unamaanisha hatuna uwezo wa kuwafunga man city na man united emirates? duh kweli siku hizi hamtuheshimu ha ha ha.Day dreams
yani unamaanisha hatuna uwezo wa kuwafunga man city na man united emirates? duh kweli siku hizi hamtuheshimu ha ha ha.
defence yetu ni nzuri kabisa ni makosa madogo madogo amabayo yalitu cost sana.sidhani kama defence yetu mbovu zaidi kujirekebisha pia kwenye counter attacks.kwenye set piece nadhani tume improve kidogo lakini ni mapema mno kujuwa zaidi.Guyz mnadefense mbaya kwenye premier league! hata kama mtafanyaje lazima mtafungwa tu....!
defence yetu ni nzuri kabisa ni makosa madogo madogo amabayo yalitu cost sana.sidhani kama defence yetu mbovu zaidi kujirekebisha pia kwenye counter attacks.kwenye set piece nadhani tume improve kidogo lakini ni mapema mno kujuwa zaidi.
ni kwamba defence yetu nzuri msimu huu.Andika kwa lugha nyepesi....sijakuelewa!