Arsenal & Simba na kelele nyingi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arsenal & Simba na kelele nyingi!

Discussion in 'Sports' started by Tisha-TOTO, Sep 8, 2012.

 1. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,173
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kuna synonymity kati ya wanazi wa Arsenal na wale wa Simba. Wana kelele nyingi sana kwa mafanikio kiduchu!

  Hadi leo hii tarehe 8 Sept, thread ya Simba imefikisha page 153 huku ile ya watani wao Yanga ikiwa iko page 70 bado.
  Kwa upande mwengine, Yanga ndiyo the most successful club in TZ (yaani kwa mataji yenye mashiko).
  Najaribu ku-imagine pale Simba wangekuwa na mafanikio kama ya Yanga, ingekuwa vipi... labda thread ingekuwa na pages 10,000!

  Arsenal nao thread yao imefikisha pages 1,077 huku Man U wakiwa page 567 tu.
  Wote mnajua kati ya Arsenal na Man U ni nani mwenye mataji mengi kuliko mwingine!

  Conclusion: mashabiki wa Arsenal na Simba have one thing in common....wanapenda sana kujifariji kwa maneno matupu!!
   
 2. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Tatizo thread ya Arsenal.. haters ndipo wanaposhinda mule kupiga majungu kama hawa thread zao vile!! kitu kingine wapenzi wa arsenal sikuzote game likichezwa mnatuona kwenye thread tukitoa update tunakuwa live hata tufungwe! manure huwa wanakimbia thread wanarudi baadaye!

  CHELSEA HUWA HAWARUDI KWENYE THREAD LAO HADI WASHINDE!!  Arsenal Special Thread should be voted the most long running thread ndani ya JF! since 23rd November 2006 08:36 mpaka leo hii! tumepitia mabadiliko mengi wapenzani wa arsenal hatuitupi thread yetu ! hakika hii thread inahitaji heshima ya kipekee

  [h=3]Arsenal Special Thread[/h]


  • Replies: 21,520
  • Views: 414,339
   
 3. M

  Masuke JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mimi nadhani washabiki wa Arsenal na wale wa Simba bundle za internet hazisumbui sana ndo maana mara zote wako online kupost kwenye thread za vilabu vyao.
   
 4. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo mkuu unamaanisha mashabiki wa timu zingine net zao ni za kupima kwa vikombe
   
 5. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Wengi hawana kazi timu yao ikifanya vizuri utakuta mechi 1 wiki nzima utakuta wapo on air asbuhi, mchana, jioni usiku
   
 6. M

  Masuke JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Ndo hivyo wengi bundle zao za kupima kwa vibaba, hata uwanjani huwa wanaingia wachache sana ukilinganisha na washabiki wa mnyama ingawa huwa wanajidai Yeboyebo ndo timu yenye washabiki wengi kuliko timu yoyote Tanzania na kama ni hivyo mbona uwanjani wanaingia wachache, wenye vijisenti ni wachache kama Manji, Mosha.
   
 7. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  asnte kwa research safi yenye ukweli na uhakika*
   
 8. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hujanitendea haki coz mi ni mnazi wa Yanga na Arsenal!
   
 9. B

  Baba Kiki JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 1,368
  Likes Received: 489
  Trophy Points: 180
  Naomba kusaidiwa uthibitisho wa fact ya Yanga kuwa the most successful club in Tanzania, maana FAT ya Ndolanga iliitangaza Simba kuwa club bora ya karne ya ishirini (in 2001) na kibadeni kuwa kocha wa karne. Kwenye rekodi pia inaonesha Simba kuwa na makombe mengi zaidi isipokuwa lile la ligi kuu ambapo Yanga inaongoza.

  Naomba kusaidiwa tu ili rekodi zikae vizuri for my future reference.
   
 10. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Yani kuna watu wana wivu sijapata kuona. Kweli mshabiki anakuwa hana haki ya kuongelea timu yake mpaka awe anashinda siku zote? Most of these guys ni glory hunters, kama muanzisha thread. Ndo maana inakua vigumu kwake kuwaelewa mashabiki wa Arsenal. Ninaomba kuwapa pole.
   
 11. M

  Mliga Senior Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu aliyeanzisha hii thread hebu akapitie kwenye mitandao ya fifa na caf alaf ndo atoe comment zake za kimaamuma, tena akiweza aulize ni klabu gani bora ya karne kwa hapa bongo, naamini jibu lake litamfanya alegee mwili mzima! Alafu kwanini umpangia mtu matumizi kwa kitu chake tena ambacho akikuhusu kabisa...!? Hebu acha tabia ya kupika ugali kwa kutegemea mboga ya jirani...!
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Acha bangi wewe angalia hizo thread zimeanzishwa lini. Ya arsenal ipo tangu 2006.
   
 13. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  maneno meeeengi ki-arsenal arsenal lakini hujajibu hoja kuhusu mafanikio kidogo...ok well nikusaidie,kwa hiyo sisi man utd and others tukishinda ktk thread yenu inasababisha msibebe mataji?
   
 14. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  /
  mtu akisema jambo tafakari kwanza itakusaidia kuuona ukweli,nakupa assignment..siku arsenal ikicheza angalia wakati game inaanza thread ina page ngapi na baada ya game zinaongeza ngapi?fananisha na man utd uone!kifupi arsenal kila game hujaza page si pungufu ya 3 wakati man utd page moja kujaa tu shida!
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Enewei na wewe jaribu kupitia yanayoandikwa kwenye page hizo ni nini na nani wanaoandika. Mfano jana nilishinda katika page hiyo wakati wa mechi ya Arsenal na Chelsea. Ilikuwa ni sehemu ya kupata Updates za maendeleo ya mechi na wakati mwingine wapinzani wa arsenal walishinda pale kuwapiga madongo wenzao. Kujaa kwa thread kutokana na wenye thread kuitumia vizuri kwa kupeana taarifa za timu yao na updates wakati wa mechi.
   
 16. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,698
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  absolutely,nakubaliana nawe kabisa,na hapo ndio utofauti unapokuja wenzetu mnapeana taarifa mnoo kuliko sisi wenye mafanikio,thread ya arsenal ina features zifuatavyo...kwanza kupeana taarifa na kuitana...utasikia quest anauliza "wapi balantanda?" balantanda nae anajibu "nipo quest,soma signature yangu...bala is always here" wanaitana mpaka wanajaza page moja,baada ya hapo wanaingia kuibishania kikosi alichopanga wenger...tv5 angeanza kosinyi angekaa benchi,wanabishana mpaka wanajaza page nyingine,page nyingine wakati wa game kulaumu wachezaji,ahaaa huyu gervinho vipi kakosaje pale yeye na nyavu,oh giroud vipi hajazoea tu epl!page nyingine wakishafungwa ni page ya kupeana moyo,vijana wataelewana tu msijali wanapeana moyo weeeeee mpaka wanajaza page,huku wakimalizia na msemo wao "once a gooner always a gooner"

  haya arsenal fans semeni wenyewe nimewachambua vema au nimewaonea?kama kweli gonga like!

  n.b page nyingine mipicha ya wacha1 wachezaji wa arsenal wakikosakosa magoli!lol
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ulichosema ni kweli arsenal simba wakishinda game mbili tatu basi inakua tabu hatulali... Kesho Yanga lazima wawafunge waarabu hao
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Oct 2, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaah!! Hata thread nyingine ni hivyohivyo, tatizo ni kuwa wadau wa hizo thread wanazikimbia sometimes na kujazana huko kwa arsenal.
   
 19. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #19
  Oct 3, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  acha wivu!!! karibu ze goners special thread! hebu twende ukatuoneshe ni mara ngapi tumeitana ... tupo ki sport aidi usichanganye na chit chat!

  guners chama kubwa hakunaga!
   
Loading...