Anh kuwa mshabiki wa Arsenal ni maumivu saaana. Angalia dirisha la usajili linavyokwenda. Tazama Man U, Chelsea, Liver, Sunderland, Man City na wengine. Arsenal wanadhani kuwa na balancesheet iliyokaa sawa basi ndio hitaji kuu. Mishahara yao midogo. Wanataka wachezaji wa bei rahisi na matokeo makubwa. Dili la uwanja limewaangamiza lakini wanashindwa kujipanga muda wote huo. Angalia kipato cha timu. linganisha na MAN U utabaki unashangaa. Hata value ya timu yenyewe. Wakati wenzao wamevuka bil wao wapo kwenye mil 700-800 USD. Kazi kweli.