ARSENAL & MANCHESTER UNITED.

Mimi ni shabiki wa Arsenal natamani kuisambaratisha Man U. Lakini pia Natamani kwa Mara ya kwanza tusipate nafasi ya kucheza hata uropa ikiwa na maana timu ipate hasara walau mara moja. Shareholder mkuu SIO mwanamichezo ni mfanyabiashara anayeangalia maslahi yake tu ndio maana tunabaki kumshabulia wenger wakati mwenye timu hana uchungu nayo. Yeye anaangalia faida tu mshenzi Yule. Tusipochomwa sindano inayouma hatutapona. Kampeni ihamie kwa mmiliki sio Wenger.
 
hili gem dk ya 30 tu man u anachezea viwili..kipindi cha pili tunamaliza mchezo kwa kuongeza ki 1..
mwisho tokeo ni ars 3- man u bashite
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom