Arsenal inanitesa. Mapenzi yananitesa. Mi nitakua mgeni wa nani?

Kuteswa na mapenzi huo ni uzembe wa kumpa mwanadmau mwenzio umuhimu kuliko nafsi yako,
kuteswa na arsenal huu ni ujinga wa kuendekeza vitu visivyo na maana.
Mie pia ni mshabiki wa mpira na ni arsenal, lakini hainitesi.
CHukulia mpira burudani, usiwe serious kihiiivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…