uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,047
- 8,544
Point tisa labda za TFFZimebaki mechi saba Arsenal awe bingwa wa Epl 2022/2023
Akitoa maoni yake beki wa zamani wa liverpool carragher amesema
"wachezaji wa Arsenal wanajiona wadogo na wavulana kushindani taji ndio maana wamejawa uoga mwingi"
Ni kweli ukiangalia kikosi chote cha Arsenal mchezaji mtu mzima (aliyekomaa kiakili ni joginyo tu wengine wote ni wavulana
Tuache hayo pembeni ili Arsenal achukue ubingwa anatakiwa ashinde mechi zote na atoe sare na manchester city
Leo Arsenal anacheza ana mechi akishinda ataongeza gape ya point tisa dhidi ya manchester city
Prediction
arsenal 4-1 Southampton
Chelsea unam-underate? Chelsea ndo game tafu nakwambiaKuna mechi mbili ngumu sana kwa Arsenal, mechi dhidi ya mancity na dhidi ya Newcastle. Akipata matokeo mechi hizo basi atakuwa bingwa, short of that tutakuwa tumeongoza ligi kwa msimu mzima then ubingwa tunagawa kwa wengine.
Point ngapi!?Point tisa labda za TFF
Point 7Point ngapi!?
Kesha kula 1 sekunde ya 44.mechi ya Leo msipoangalia arsenal mnatoa sare au kipigo
niliwaambia ni sare au kipigoTayar
Kesha kula 1 sekunde ya 44.
Inasikitisha sana hii dahπ£Kuna mechi mbili ngumu sana kwa Arsenal, mechi dhidi ya mancity na dhidi ya Newcastle. Akipata matokeo mechi hizo basi atakuwa bingwa, short of that tutakuwa tumeongoza ligi kwa msimu mzima then ubingwa tunagawa kwa wengine.
Aliyekwambia city anakamia game nani? Arsenal alipigika mechi ya kwanza kwahiyo alikamiwa?Mtazamo wangu Arsenal anaweza kupata sare akienda manchester city,city ana focus uefa hawezi kukamia game,
Mechi ya newcastle ni rahisi mno kushinda yule kocha sio tactical anategemea physic ya wachezaji
Mechi ngumu kwa Arsenal ni chelsea,lampard atataka kuonyesha kitu hatataka kufungwa na junior coach aliyemkuta kwenye game
Asernal hawako makini, hii ni kama mwaka ule Leicester City alipochukua kombe.That way I hate football very disappointment kila wakati
ββββββββββπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Zimebaki mechi saba Arsenal awe bingwa wa Epl 2022/2023