Arrest Warrant sought for Sudan's Bashir: A first for a sitting president

Kuhani

JF-Expert Member
Apr 2, 2008
2,944
64
Sudan president may face war crime charges

Prosecutor of war crimes tribunal to seek arrest warrant Monday


APTRANS.gif

updated 6:51 p.m. ET, Fri., July. 11, 2008

nn_curry_sudan_080711.300w.jpgUNITED NATIONS - The prosecutor of the world's first permanent war crimes tribunal will seek an arrest warrant Monday charging Sudan's president with crimes against humanity and genocide in Darfur, a move U.N. diplomats warned could bring a backlash from Sudan's government.


VIDEO: http://www.msnbc.msn.com/id/21134540/vp/25642860#25642860
 
Sudanese president is charged with genocide

International Court accuses al-Bashar of trying to wipe out Darfur tribes

MSNBC News Services
updated 2 hours, 13 minutes ago


080714-sudan%20president-430a.rp350x350.jpg


`THE HAGUE, Netherlands - The prosecutor of the International Criminal Court filed genocide charges Monday against Sudan's president, accusing him of masterminding attempts to wipe out African tribes in Darfur with a campaign of murder, rape and deportation.

FULL STORY: http://www.msnbc.msn.com/id/25671505/
 
Huyu jamaa hata mimi nilishangaa kuona wanamkaribisha hata kutembelea nchi yetu siku zile za sullivan. ni mtu mbaya kuliko hata mugabe. nafikiri, huyu anatakiwa akamatwe na anyongwe kama saddam. huwezi amini huyu jamaa ndo alikuwa anasapoti majanjaweed kuwaua watu sudan ya kusini ambao ni weusi walio wengi na wakristo walio wengi, kisa tu kwasababu yeye ni mwislam na ana asili kidogo ya uarabu. ningekuwa na uwezo, ningesaidia sudan ya kusini ijitawale. anatakiwa akamatwe, amasaidia kuua watu wengi sana, na Darfuu yote ni matokeo yake. mjinga sana huyu raisi.

Halafu cha kushangaza, waziri Membe, mtu ambaye mimi namhesabu waziri asiyestahili kuliko mawaziri wote tz, alitoa tamko la kutokukubaliana na icc. huyu ndo aliyetoa hata tamko la kwenye kuwapiga anjuani kule commoro, na kwamba hatumsapoti mugabe. waziri huyu ndo yule ambaye hadi leo hajui kutambulisha maraisi akatutia aibu pale arusha siku ile mbele ya kikwete. nafikri kuchagua mawaziri wakati mwingine tunaangalia tu sura kama mtu ana sura nzuri na anajua kunyongesha mdomo, ile sio mtu mwenye akili na uwezo wa kufanya kazi. this is nonesense kabisa. sifuri.
 
Jamani huyu Bashir na Bush nani kati yao anastahili kushtakiwa kwenye hiyo mahakama????
 
Tunaongelea Africa, tutataka kusovu matatizo yetusisi waafrica katika bara letu la africa. kama wewe ni mmarekani au mwarabu, ndo uanze kudiscuss hayo. bashir amewa finance majanjaweek yaani wale wanamgambo wa kiarabu kuwaua waarfika. hii ilikuwa ni jambo la ki ethnic,religious na mafuta kusini mwa sudan. waarabu wanataka ku wipe off wabantu kusini, kuwipe off wakristo kusini,na kumiliki mafuta kusini ambako ndo yapo. kufanya hivi, ametoa pesa nyingi kuwa finance majanja weed, ndo maana alikuwa anaogopa kuwapokea wanajeshi wa umoja wa mataifa, alikuwa anaogopa kwasababu anajua alichokifanya. anatakiwa atengwe, na kuna siku atakamatika tu. ila viongozi wa tz waache unafiki.

viongozi wa tz wanafiki sana, unakumbuka juzi tu hapa JK alisema kuwa atakuwa tayari kupeleka wanajeshi zimbambwe kama ni muhimu?, majeshi ya nini kule?, pia alitoa kauli moja hivi ya kusapoti nyuklia ya iran, kwa maslai ya nani? na mitazamo mingi sana ipo hapa, viongozi wetu hawana akili kwakweli na wanaongea tu alimradi wapate misifa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom