A abousalimu Member Joined Apr 3, 2012 Posts 62 Reaction score 19 May 14, 2013 #1 Aron Ramsey kafunga goli zuri sana la 4 katika ushindi wa leo wa Arsenal. Swali ni kwamba hilo goli litaleta msiba gani?
Aron Ramsey kafunga goli zuri sana la 4 katika ushindi wa leo wa Arsenal. Swali ni kwamba hilo goli litaleta msiba gani?
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,550 Reaction score 2,200 May 15, 2013 #2 Kesho asubuhi sikiliza redio lazima afe mtu maarufu
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,228 Reaction score 90,683 May 15, 2013 #3 kha....watu viroho juu juu
A ACCOUNT FULL JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 1,995 Reaction score 389 May 15, 2013 #4 da! Bora nimeamka salama,mana jna nililala na wac wac sana baada ya jamaa kufunga