AROBAINI ya CHADEMA:Charles Charles


dsa kweli dk slaa mbaya sana kamiliki kadi hadi kadi imepandisha bei hivi, mh
 
Dr Slaa ananyima usingizi watu wengi sana, na bado tutasikia mengi sana lakini hatudanganyiki.
 

kwelu we mbumbu ya kwako pale lumumba na sku90 yalishia wapi hadi uje kutoa ushauri kwa cdm
 
huwaga sicomment threads za wapuuzi kama huyu...najiandaa kwenda kusherekea ushindi wa lema..naanza na savannah lounge..tukabanane pale..watu wanakuwaga nyomi,..sijui sababu ya zile coupon za kulewa bure?dah..
mh.spika nakumbushia ile ripoti niliyokupa kuhusu waziri mkuu kusema uongo
 

Mahindi debe 1 liliuzwa tsh 1,500/=hadi 3,000/= leo ni tsh 13,500/= hadi 15,000/=
 
Mleta uzi unazungumziaje kasfha aliyonayo zzk hii ya yeye na kina ben? Maana watu wa lumumba mnajifanya kama hamlioni vile sababu linawahusu nini?
 
Ni upuuzi kumfananisha dr.slaa na specie yoyote yenye damu ya ccm, kwani si kweli mnageza harakati za cdm? hukumu ya Lema is your best wishes on Christmas feast. Salamu kwa Edward Lowassa. UMMA UTASHINDA

Lowassa aje Arusha kesho aone chadema in ACTION wapuuzi hawa! tutasimama na CHADEMA No matter what!
 

Hahahaha swali lenyewe ni hili!

Mh. Spika kwa ktumia kanuni ya 68; naomba kupata ufafanuzi, kumekuwa na tabia ya bunge kukalia ripoti mbalimbali zinazoletwa mezani kwako kwa ajili ya kuthibitisha kauli za wabunge, wananchi wa Arusha wanataka kujua je, ni lini ile ripoti niliyosema waziri mkuu kalidanganya bunge itawasilishwa hapa bungeni ili wananchi waweze kujua ukweli!
 
Ninapata tabu sana kuendelea kusikia hjili la kadi pamoja na maelezo yaliyotolewa ya kisheria na matakwa ya katiba za vyama ikiwemo CCM. Je ni kwamba wanaoendelea kuitoa na kuitumia hoja hii katika mikutano wanawadaharau wananchi uelewa wao au ni nini hasa. Kwa sababu hakuna hata siku moja wanawauliza wanaotaka kujiunga na vyama vyao wanawauliza ikiwa wana kadi ya chama kingine! Ndiyo maana Dr Kitila alisema kuendelea kujadili ili ni upuuzi. Tuache kuwa wapuuzi kwa kuchangia hoja yenye suala hili la kadi.
 
Mtafanya kazi kubwa sana kupambana na mtu mmoja lakini bado mnamshindwa!
 
Hivi Dr. kwanini hamumfukuzi kwenye chama chenu, sababu ni rahisi tu, yeye ni msaliti kwenu, anamiliki kadi ya chama chenu tena anailipia halafu anakiponda chama chake hicho hicho na mwenyekiti, Katibu, M/kiti msaidi Mweneza uongo Nepi wote mnamwangalia tu, hivi kumbe na nyie mnamwogopa eeh! Mbona kadi ya Samuel Sitta ilikua rahisi sana kuta kuinyang'anya?
 
Hivi inflation imefikia ngapi? Na deni la taifa likoje?
 
aisee ukweli gazeti la TAZAMA huwa nikiliona najisikia kichefuchefu! huwa sioni taarifa zenye ukweli katika hilo gazeti! yaani liko full uzandiki na upotoshaji!
 
Non sense! Sijui huyu kakurupukia wapi as if unaota bana! Shame up on you.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…