jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,985
- 22,512
Kwa mujibu wa CNN huko Syria hao rebels wao wameongezewa nguvu kidogo na wanajeshi walio defect kutoka kwenye jeshi la Al Assad.
Wale wa Arab League naona hawana credibility tena, mauwaji yanaendelea tu na wananchi hawaogopi tena kufa!
Another news on the same issue hapa...
Syrian troops, army defectors clash - World news - Mideast/N. Africa - msnbc.com