hovyohovyo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 547
- 159
Wanajf, Kumbukumbu hazijakaa vizuri, lakini nikidhani huyu jamaa miaka ya 2006 or so, alipatwa na mkasa wa 'stroke', kisha akawa comatose. toka hapo sijajua kama alirudi ktk hali ya kawaida ama la. Je inaweza kuwa angali ktk coma baada ya miaka yote hii? na je hii inamaanisha nn kiafya?
Ina maanisha ovyo-ovyo:frusty:
Ina maanisha ovyo-ovyo:frusty:
Mkuu hata kama usinge-comment, bado usingepukiwa na kitu
Wanajf, Kumbukumbu hazijakaa vizuri, lakini nikidhani huyu jamaa miaka ya 2006 or so, alipatwa na mkasa wa 'stroke', kisha akawa comatose. toka hapo sijajua kama alirudi ktk hali ya kawaida ama la. Je inaweza kuwa angali ktk coma baada ya miaka yote hii? na je hii inamaanisha nn kiafya?
wewe shangaa mtu anakunya pini (angalia ID yake) anaweza ku comment cha maana kweli??

..........na mtu wa hovyo hovyo anaweza kuuliza swali la, maana kweli ?
Wanajf, Kumbukumbu hazijakaa vizuri, lakini nikidhani huyu jamaa miaka ya 2006 or so, alipatwa na mkasa wa 'stroke', kisha akawa comatose. toka hapo sijajua kama alirudi ktk hali ya kawaida ama la. Je inaweza kuwa angali ktk coma baada ya miaka yote hii? na je hii inamaanisha nn kiafya?
Wanajf, Kumbukumbu hazijakaa vizuri, lakini nikidhani huyu jamaa miaka ya 2006 or so, alipatwa na mkasa wa 'stroke', kisha akawa comatose. toka hapo sijajua kama alirudi ktk hali ya kawaida ama la. Je inaweza kuwa angali ktk coma baada ya miaka yote hii? na je hii inamaanisha nn kiafya?
Sharon yupo kwenye permanent coma kurudi kuwa na hali ya kawaida haiwezekani labda kwa miujiza ya mungu, system zote za mwili wake zinaongozwa na machine!
Sharon alishakufa siku nyingi Familia inasubili tu siku ya kutangaza kifo chake na kumzika, ni ujinga kuendelea kushindana na Mungu.
Kama ingelikuwa kwetu Afrika ingemaanisha nini? Kuna watu wanachezea hela kweli. What is the probability of walking again?
Ile ni laana ya mungu kutokana maovu yake,kwa sasa hayupo duniani wala akhera,yaani ni mateso tu ili iwe fundisho kwa watu wengine