Ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya zilikuwa kwa ajili ya ufisadi?

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
1.Jaman msaada wenu Rais wetu wakati anaingia madarakani aliahidi kasi mpya, nguvu mpya na ari mpya kwenye nini?

A. UFISADI?
B. UFKUSA?
C. MAENDELEO? ( ) Explainations will incerease marks.
D. MIGOMO?
E. MIGOGORO?
F: ALL ABOVE EXCEPT C.

2. Hivi Tanzania ya CCM inaelekea wapi?
(Jadili kwa kuzingatia haya: vita, adabu, ufisadi, maendeleo)

3. Hivi mabango yaliyowekwa wakati wa uchaguzi nchi nzima yalitumia gharama kiasi gani? na unaonaje kama wangepewa msaada maskini vijijini ambako sasa wanalala njaa ile kiukweli kabisa na mvua ndo hivo tena unafikri wataumalizaje mwaka huu? (Discuss)

4. Hivi Jk akifunguliwa mashitaka ya hujuma ya Ufisadi baada ya kuondoka madarakani atapona? (Explain)

Radio Producer ndani ya JF kipindi cha leo!
 
Back
Top Bottom