Arfi anaiua CHADEMA wilayani Mpanda

Huo ndio ukweli ila hawataki tuseme ukweli eti ukisema unitwa gamba.Hawa wenzetu wanaupofu sijui limbwata la Josephina linatudhuru wote?Wanani criticise bila point hawajibu hoja na kusema kama mi naongea majungu na uongo.Je ukweli upo wapi?bora wewe umeliona hili.
 
Hakuna gamba wala anayetumika na ccm hii kitu ndio itatuangusha chadema inabidi tukubali ukweli iki tujipange na si kupinga kila kitu na mtu anayesema ukweli unaitwa gamba.je ukweli ni upi kama mimi nadanganya?
Siku hizi majungu na unafiki vinaitwa ukweli?
 
Makam mwenyekiti anakipenda sana chama chake usimchafue labda ukiweka picha tutakuelewa kidogo
 
Makam mwenyekiti anakipenda sana chama chake usimchafue labda ukiweka picha tutakuelewa kidogo

Nimejaribu kuapload picha toka jana unajua mi natumia simu so inasumbua kuapload ila huo ndio ukweli huyo jamaa anaiua cdm hapa mpanda
 
Hata kama mtu amekaa uchi hakuna apendaye kuambiwa kuwa yu uchi!!! Achilia mbali mtu ajaribuye kusema kuwa "mfalme" yu uchi!!!
Soma nilichoandika uelewe a center of my point.. Kuleta hapa JF itasaidia vp ku-solve tatizo kama lipo..?
 
Hatimaye leo chadema mpanda wamefungua ofisi yao na kulipa kodi ya miezi 6 waliyokuwa wanadaiwa na hii ni baada ya kuandika humu jf jana,je tutafika kwa hali hii?je wapo wapi wale waliokuwa wananisema mi muongo,mnafiki na ninajenga chuki?
 
Narudia tena, JF sio ofisi ya CHADEMA, malalamiko kama haya yaende kwenye chama. Huu ni utoto na ujinga, nadhani una akili kamasi zinakusumbua.
 
Narudia tena, JF sio ofisi ya CHADEMA, malalamiko kama haya yaende kwenye chama. Huu ni utoto na ujinga, nadhani una akili kamasi zinakusumbua.

Ofisi gani ambayo nitaenda kutolea maoni haya?kumbe ofisi wamenyang'anywa na imechukulia na dogo mmoja hivi muuza asali pia mzee hayo si majungu ni ukweli kabisa
 
Toa majungu humu kwani ofisi za chadema unazijua peleka huko mnafiki mkubwa wewe
 
Mzee mpaka nimeamua kuandika hapa sikuwa na jinsi kumbuka nipo mpanda pia hapa hakuna ofisi nitatoa maoni wapi?tulimwambia ukweli kwenye kikao akatupa kadi.je ungekuwa wewe ungefanya nini?
wewe kweli GAMBA..sababu iliyoelezwa ya mh arfi kutupa kadi ni kakijana flani kasiko kua na adabu kumtuhumu kwamba amenunuliwa na pinda..NA kwa kumbukumbu yangu mh.Arfi tulisha kaa nae kikao sisi vijana kabla ya kwenda bungeni..nakumbuka ili kuwa mwezi wa kwanza..Vijana wa chadema mpanda tulimaliza tofauti zetu na mh.arfi na kuahidi kukijenga chama upya.
 
mimi nipo mpanda....HUO NI UONGO MTUPU....Au na wewe ushanunuliwa na kevi mbogo coz vjana wengi wa mpanda walishanunuliwa na chama chenye pesa...
 
Hatimaye leo chadema mpanda wamefungua ofisi yao na kulipa kodi ya miezi 6 waliyokuwa wanadaiwa na hii ni baada ya kuandika humu jf jana,je tutafika kwa hali hii?je wapo wapi wale waliokuwa wananisema mi muongo,mnafiki na ninajenga chuki?
It was just a coincidence, who are you by the way?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…