Arfi anaiua CHADEMA wilayani Mpanda


Eti mtu ukisema unaambiwa wewe gamba!!jamaa hana jipya na kweli ccm watalichukua.Naanza amini maneno ya rafiki yangu mmoja tuliyemaliza nae chuo kuwa chadema si chama makini
 

Hakuna anayekihujumu chama yaani kumbe nanyi mnatufanya watu wajinga tusioweza kuhoji hata kwa jambo jema?umenisikitisha sana.hakuna mtu hata mmoja aliyekuja na point katika kunipinga.je kwa wale ambao wapo mpanda je mi nadanganya?
 
We usiwe kilaza wewe..we ndo sio chadema...usitake chafua jina letu...
We kenge Kilaza baba yako...nimechafua jina lenu lipi ?

Huyu mzee aliwahi kutapa kadi ya CHADEMA akaikanyaga na mabuti yake watu wakaiokota wakaenda kumpigia magoti aichukue ...
Akakataa watu wakamuekea kinguvu kwenye mfuko wake....
Hata sijui kama anayo mpaka leo.....

Mmezoea kuonea vidagaa tu akina Shonza.... Kilaza mkubwa wewe
 

Yap jamaa ni mungu mtu hataki na hawataki tuseme ukweli.
 
Jifunge kitenge ukacheze mdumange masalia number one
 
shumbimadelu


Today 15:18
#1
Member Array


Join Date : 8th January 2013
Posts : 89
Rep Power : 323
Likes Received18
Likes Given0


[h=2] Arfi anaiua CHADEMA wilayani Mpanda [/h]WEWE NA HABARI ZAKO ZA UCHONGANISHI PELEKA HUKO ULIKOTOA .HAPA NI OFISI ZA CHADEMA ? LAZIMA UTUMIE AKILI KUFIKIRI NA SIO ...................................
CHAMA KINAUTARATIBU!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 

Haya muhindijohn hamtaki ambiwa ukweli ila huo ndio ukweli na ujumbe wangu umefika pia hili jimbo litachukuliwa na ccm.
 
Mambo mengine tuweke ushabiki nyuma na tuwe tayari kuongea na kusimamia ukweli. Mimi ni mwana chama hai wa CHADEMA. Mara ya kwanza nilipotoka chuoni, mwezi Juni mwaka jana nilikuta mji umebadirika kabisa. Zile bendera nzuri za CHADEMA ambazo zilikuwa zinaupendezesha mji, hazikuonekana tena. Maeneo mengi ambayo kulikuwa na Bendera za CHADEMA, nafasi yake ilikuwa imechukuliwa na bendera za ccm. Nilishangaa sana, na ikabidi niwaulize wenyeji niliowakuta. Jibu ambalo lilipata kutoka kwa wengi, walisema, bendera siyo issue, issue in mioyo ya watu, watu wako CHADEMA japo mashina yao yamewekwa bendera za ccm! Ilinichukua muda mrefu kidogo kuamini.

Najua wengi tunapenda kusikia mazuri tu kutoka CHADEMA, hata mimi ni mmoja wao, lakini kwenye ukweli lazima tuseme. Kama sijakosea, Said Arf alishinda kwa tofauti ya kura 47 katika uchaguzi uliopita, tofauti sana na uchaguzi wa 2005 ambapo alipata kura nyingi sana. Hili pekee linaonesha kukubalika kwake kumepungua sana. Japo anafanya kazi nzuri, lakini mvuto wake umepungua kwa wananchi na nafikiri ameshindwa kuwa na techniques za kuwavuta watu na kukubali sera za chama. Tusifarijiane, huyu Mzee atakiacha chama cha CHADEMA katika hali mbaya sana. Na anaposema kuwa haogombei tena, siyo kwamba hapendi, lakini ameshaupima upepo na ameona kuwa kukubalika kwake kunashuka kwa nguvu sana hapa Mpanda mjini na hivyo anataka amuachie mwingine aibu ya kushindwa ili yeye ajisifu kuwa ndiye alikuwa anaibeba CHADEMA MPANDA MJINI.

Tusibishane, ukweli daima utasimama, mimi binafsi nilisikitishwa sana na huyu Mzee kutupa kadi ya chama, eti kwa sababu alikasirishwa na vijana. Ina maana siyo mvumilivu kiasi hicho? Kuitupa kadi ya chama ni kukidhalilisha chama. Nilisikitika sana, na hata leo hii siamini kama kweli alifanya kitendo kile.

Hili suala la chama kukosa ofisi ya maana hapa Mpanda Mjini, nilizungumzwa sana, japo kwenye mikutano ya siasa tunafarijiana na kupeana moyo kuwa tuna mkakati wa kujenga ofisi kubwa ya mkoa. Lakini hiyo itachukua muda sana, kwa nini tusiwe na ofisi at least yenye hadhi kwa sasa wakati tunashughulikia hiyo ya mKoa? Huyu Mzee kweli amefanya mengi, lakini nafikiri kuwa atamaliza vibaya sana ubunge wake hapa Mpanda Mjini.

Kuna hii case ya gari la AMBULANCE kukaa nyumbani kwa mbunge. Mimi bado sijajua, ila nilisikia tetesi kuwa hizi gari zilitolewa na CHADEMA MAKAO MAKUU kwa kila jimbo ambalo lilikuwa na mbunge wa CHADEMA, na kwamba kwa mujibu wa maelekezo ya CHADEMA MAKAO MAKUU, ilitakiwa hizi gari zikabidhiwe kwa uongozi wa hospitali za mkoa au wilaya. Nasikia Ndesambulo na wengine walizikabidhi gari hizo kwa serikali kupitia uongozi wa hospitali husika, huku kwetu gari linakaa kwa mbunge. Mimi hofu yangu, jamaa anaweza akafuta yale maandishi "MBUNGE MPANDA MJINI CHADEMA" kama hatogombea tena uchaguzi ujao, na kama atagombea mwingine akashindwa, je itaendelea kuwa ambulance?

Lisemwalo lipo, kama halipo linakuja. Nafikiri tunahitaji kuwa na kikao cha vijana mkoa wa Katavi kwa ajili ya kujadili mustakabali wa chama hapa mkoani, vinginevyo, tutarudi nyuma ambako binafsi sipendi. Ni hayo tu!!!!
 
Hamna lolote udini tu ndio unaowaandama si munaona yeye muislam na nyinyi kwenye chama chenu waislam marufuku,ndio kila.wakati munawaandama hao arif na zito
 
Nyie vijana mnajiunga JF siku za karibuni, jifunzeni kuleta hoja makini. Hii ni dalili ya kukosa umakini, hivi JF ndio ofisi ya CHADEMA mpaka ulete malalamiko yako hapa? Hivi hujui katiba ya chama inasemaje kama una malalamiko juu ya uendeshaji wa chama? Mbona katiba ya chama ipo wazi? kwanini tunataka kuendeleza majungu, ubaguzi na fitina zisizojenga chama? Na inaonekana wewe umekuja humu kwa lengo hilo, maana join date ni tarehe 8 mwezi huu na mwaka huu, tayari umeanza majungu na ushenzi. Hebu tuwe wastaarabu na wapenda kufuata kanuni na taratibu za kuendesha taasisi.
 
Hamna lolote udini tu ndio unaowaandama si munaona yeye muislam na nyinyi kwenye chama chenu waislam marufuku,ndio kila.wakati munawaandama hao arif na zito

Ficha uchi wa akili yako single ya udini hailipi tena watu tunawaza maendeleo we waza tu udini na story zako za kwenye gahawa
 

Aaah dogo kwani kujiumga jf siku za karibuni inamfanya mtu ashindwe kufikiri?majungu yapo wapi?naomba uniambie ukweli pia mbona ndani ya chama hamtaki ambiwa ukweli?kama kujiunga jf mapema ndio kigezo mbona umejiunga jf kitambo lakini akili yako ni kama ya gift binti yangu?jifunze kuheshimu watu huna ulichoandika wewe dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…