shumbimadelu
Senior Member
- Jan 8, 2013
- 185
- 64
Ndugu wanajamvi,huyu jamaa ambae ni makamu mwenyeketi wa chadema taifa na ni mbunge wa mpanda kati au mpanda mjini ila huyu hana alilofanya hapa jimboni kwake.Tangu awe mbunge, vijana wengi wamekihama chama,mashina mengi ya chadema hapa mjini yamevunja na kuwekwa bendera za ccm pia jamaa anaendeleza makundi na majungu na hataki kuambiwa ukweli na ndio maana alitupa kadi ya chama alipoulizwa na vijana juu ya maendeleo ya chama.Mbunge anahusishwa kutumiwa na mheshimiwa PINDA kuiua chadema hapa mpanda eti sababu yeye hagombei tena ubunge.Cha maana alichofanya mpaka sasa ni kumlipia mzee mmoja aliyempigia kampeni chakula kwa msomali mmoja panaitwa madini cafetaria na anamlipia kwa mwezi.Sasa ni mwezi wa tatu sasa ofisi ya chadema hapa MPANDA MJINI imefungwa sababu wameshindwa lipa kodi ya pango.Haonekani ofisini kwake na ofisi yake inatia aibu kwa kujaa maji katika kipindi hiki cha mvua mkoani humu. Najitahidi kuapload picha kuonesha ofisi ya mbunge ilivyojaa maji na yaliyokuwa mashina ya cdm ambayo sasa yamewekwa bendera za ccm lakini inashindikana.
Mamaa mingoi.Chadema kina sifa ya kufanya maamuzi magumu mfukuzeni haraka.

kweli kabisa kama ni kweli anatumika kuua chama vijana mnapohama si mnamrahisishia kazi tu kama anavyoidai mlete mada kwamba ametumwa na PindaVijana ndio wanye matatizo wala siyo Arfi.Wakiwa wanaipenda CHADEMA watafanya mikakati yao kama vijana ili kuiinua CHADEMA na kujiunga CCM kuna nipa wasiwasi kuwa walikuwa wachumia tumbo na wala hawana mapendi na chama chao.Hutakiwi kukimbia vita bali kutafuta suluhisho ili ushinde.Poleni Mpanda
Gamba hili linatumika na ccm hana jipya huyu vijana mpanda tuko saafi na mbunge wetu!anza upya tena kudanganya!
tangu saa tisa na robo hadi sasa 15:53 bado hujaweza kuweka picha?
wewe uliyepost hii thread ndiye unayeiua CHADEMA hapo mpanda hasa kwa majungu yako haya.
kweli kabisa kama ni kweli anatumika kuua chama vijana mnapohama si mnamrahisishia kazi tu kama anavyoidai mlete mada kwamba ametumwa na Pinda