Are you seriously seeking for a job!!!Ona hii

Are you seriously seeking for a job!!!Ona hii

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,268
Reaction score
1,267
Huu ni mfano tu wa mtu graduate ambavyo ametuma email kuomba kazi somewhere, je kweli huyu mtu ukiwa wewe ni HR utamuelewaje? Post ni Programme Assistant.

I am very skilled in assisting in the development and maintenance of wide-ranging programs and activities for residents to support fun and social relations and to please the body, mind and strength, in addition to communicating the agenda of events to residents and family members.
In addition, I am very experienced in giving In addition, I am very experienced in giving assistance and administrative support which includes: preparing and maintaining regularity records, organizing doctor’s schedules and booking meeting appointments, performing different secretarial and bookkeeping duties for instance word processing, receiving, reviewing and filing of communication, preparing invoices for dispensation, compiling and analyzing information and preparing appropriate statistical reports.I welcome the chance to meet with you personally in order to discuss my education, experience and skills that would be advantageous for Childrens.

Kazi kweli kweli!!!!!!

hakuna ktu kama hcho.sizan kama kuna graduate atandika hivyo mkuu.
 
Hii kali

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Labda si graduate wa ukweli. Kama ni wa kweli alifikaje huko na alikuwa akifanyaje pepa? Si angedisco na kabla ya kudisco si angefeli sekondari..? Pengine ni GRADUATE WA KWELI LAKINI AMESOMA NAMBA TU ambazo hazihitaji sana maelezo. Ila ni changamoto kweli kwa ma HR
 
Haiingilii katika akili ya kawaida kama kuna kitu kama hicho !!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ila sio fresh wala nini we kama humpi kazi piga kmya atapewa na wengne co mpaka umlete hapa hata ww ulianzia huku hukuzaliwa unajua tena yawezekana chako kilikuwa kibaya zaid hizi lugha za watu co za bongo ndo mana wasahihishaji hawangalii unajua kingereza wanangalia ulitaka kusema nini ingekuwa hvyo tusingekuwa na wakuu waliosoma kayumba
 
Huyu anapima uelewa wa HR maana kuna HR wengine ni tatizo...
Anapima uwezo wa kampuni
 
hakuna ktu kama hcho.sizan kama kuna graduate atandika hivyo mkuu.

Kwa graduate wa kutoka vyuo vyetu vya Tanzania sitaona ajabu wakiandika hivyo. In fact huyo amejitahidi sana.
 
"I WELLCOME A CHANCE TO MEET WITH U" graduate wa ajabu wa mwembe togwa,pia tukubali wasomi wengi wa tanzania lugha hii huwapa shida sana MUCH BETTER ANGEJIANDIKIA KWA KISWAHILI AKAAMBATANISHA NA VYETI VILIVYONONA KUWAZIDI WENGINE HATA HIVYO KTK INTERVIEW ANGEDONDOKA hata hivyo yafaa kukipa kipaumbele kiswahili katika shughuli mbalimbali za kiserikali na taasisi za binafsi
 
Nimempata kwa mbali sana,alikuwa anaomba kufanya kitu wazungu wanaita "Informational Interview".Ila kumuelewa inataka moyo,mpangilio wa maneno kidogo umekaa tenge.Semantically correct but grammatically wrong.
 
"I WELLCOME A CHANCE TO MEET WITH U" graduate wa ajabu wa mwembe togwa,pia tukubali wasomi wengi wa tanzania lugha hii huwapa shida sana MUCH BETTER ANGEJIANDIKIA KWA KISWAHILI AKAAMBATANISHA NA VYETI VILIVYONONA KUWAZIDI WENGINE HATA HIVYO KTK INTERVIEW ANGEDONDOKA hata hivyo yafaa kukipa kipaumbele kiswahili katika shughuli mbalimbali za kiserikali na taasisi za binafsi

Inasikitisha sana kuona eti graduate from chuo fulani maarufu hapa nchini can draft such a thing!!! Ni aibu sana jamani! Ndio maana organization nyingine wanawaajiri sana Wakenya huku Watanzania wengi wakitoswa na sababu ni hizi hizi
 
ila sio fresh wala nini we kama humpi kazi piga kmya atapewa na wengne co mpaka umlete hapa hata ww ulianzia huku hukuzaliwa unajua tena yawezekana chako kilikuwa kibaya zaid hizi lugha za watu co za bongo ndo mana wasahihishaji hawangalii unajua kingereza wanangalia ulitaka kusema nini ingekuwa hvyo tusingekuwa na wakuu waliosoma kayumba

Nia yangu sio kumdhalilisha huyu mtu na ndio maana sijataja jina wala chuo alichosoma. Nia yangu ni kuwapa angalizo job seekers kuwa makini pindi wanapotuma maombi ya kazi na kufuata application instructions! Kiukweli kabisa watu wengi wanakosa nafasi za kazi kwa uzembe kama huu!!Nakumbuka miaka ya 2004 alikuwepo jamaa mmoja maeneo ya sayansi kijitonyama, alikuwa anatoa training kwa graduates kuwasaidia waelewe jinsi ya kufanya job applications na pia jinsi ya kufanya interviews! Sijajua kwa sasa kama bado anafanya izo training ila zilitusaidia wengi sana.
 
Ila pia jamani kiingereza hakipaswi kumfanya mtu akose kazi..huko kutakua ni kuoneana...unakuta mtu mwingine ni mchapakazi lkn kujieleza kwa kiingereza ni issue...sasa ukisema uangalie kizungu dotcom wa ss hivi wengi ni English medium anajua kimombo ila kuchwani hazimo/mvivu/mzembe/kazi hajui/hayuko committed. .ndo hao tunaokutana nao maofisini ht customer care hawana kisa nn kizungu ndo kimemuajiri..sometimes muwe mnawapa nafasi ya kujieleza kwa kiswahili kutest ufahamu wao
 
Me nadhani hii ni story ya kubuni manake graduate hawezi kuandika kama vile.
 
Back
Top Bottom