Are you seriously seeking for a job!!!Ona hii

Mimi sishangai hata kidogo. Elimu yetu vyuoni is terrible...mimi huwa nakutana na viingereza vya wanafunzi wa mwaka wa tatu vyuoni hadi natamani kulia..
 
hivi hili ni jukwaa la nafasi zakazi au jokes? naona nimekosea
 
Mimi binafsi nimewahi kupitia applications za watu graduates kabisa asilimia 99 hawajui kupanga CV iwe na mvuto hata barua hovyo tu lakini kwa vile kampuni ilikua inataka mtu hatukua na jinsi ilibidi tu shortlist
 
Huu ni mfano tu wa mtu graduate ambavyo ametuma email kuomba kazi somewhere, je kweli huyu mtu ukiwa wewe ni HR utamuelewaje? Post ni Programme Assistant.

I am very skilled in assisting in the development and maintenance of wide-ranging programs and activities for residents to support fun and social relations and to please the body, mind and strength, in addition to communicating the agenda of events to residents and family members.
In addition, I am very experienced in giving In addition, I am very experienced in giving assistance and administrative support which includes: preparing and maintaining regularity records, organizing doctor’s schedules and booking meeting appointments, performing different secretarial and bookkeeping duties for instance word processing, receiving, reviewing and filing of communication, preparing invoices for dispensation, compiling and analyzing information and preparing appropriate statistical reports.I welcome the chance to meet with you personally in order to discuss my education, experience and skills that would be advantageous for Childrens.

Kazi kweli kweli!!!!!!

Huyo mtu anajua anachokitaka kweli huyo?
 
ni kweli inasikitisha lakin lazima 2jiulize anapenda?! Hakuna anayependa hivyo ila ni elimu yetu mbovu ya kibongo na percent kubwa ya wanaojua ngeli huwa hawana akili ila mbwembwe nyingi kujua kingereza co ndo uwezo wa ujuz unakuta mtu hajui kingereza lakin ana skillz za ktosha na uwezo mkubwa ila kuweka kweny lugha za watu ndo tatizo lazima 2liangalie hili pia 2kishobokea vingereza 2tapata wanaojua mbwembwe za ktambia maofisin ila vichwan na uchapaj wa kazi ni 000
 
Huu ni mfano tu wa mtu graduate ambavyo ametuma email kuomba kazi somewhere, je kweli huyu mtu ukiwa wewe ni HR utamuelewaje? Post ni Programme Assistant.

I am very skilled in assisting in the development and maintenance of wide-ranging programs and activities for residents to support fun and social relations and to please the body, mind and strength, in addition to communicating the agenda of events to residents and family members.
In addition, I am very experienced in giving In addition, I am very experienced in giving assistance and administrative support which includes: preparing and maintaining regularity records, organizing doctor’s schedules and booking meeting appointments, performing different secretarial and bookkeeping duties for instance word processing, receiving, reviewing and filing of communication, preparing invoices for dispensation, compiling and analyzing information and preparing appropriate statistical reports.I welcome the chance to meet with you personally in order to discuss my education, experience and skills that would be advantageous for Childrens.

Kazi kweli kweli!!!!!!

nionavyo mimi ni kwamba atakuwa amefanya direct response to the job advert kwa kutaja requirements na tasks za kwenye tangazo akidhani kwamba itakuwa impressive.
 
Mi nahisi huyu ali copy na kupaste halafu sijui alisahu ku edit!
 
Ila pia jamani kiingereza hakipaswi kumfanya mtu akose kazi..huko kutakua ni kuoneana...unakuta mtu mwingine ni mchapakazi lkn kujieleza kwa kiingereza ni issue...sasa ukisema uangalie kizungu dotcom wa ss hivi wengi ni English medium anajua kimombo ila kuchwani hazimo/mvivu/mzembe/kazi hajui/hayuko committed. .ndo hao tunaokutana nao maofisini ht customer care hawana kisa nn kizungu ndo kimemuajiri..sometimes muwe mnawapa nafasi ya kujieleza kwa kiswahili kutest ufahamu wao
Mkuu ungekuwa jirani na mimi ningekutoa na lunch ya chips mayai mawili na tomato......ofisini kwetu kuna wadada kama wawili hv kila mtu anawagwaya kwenye hiyo lugha lkn utendaji......mama yangu!......
 
Kujua kiingereza si kujua kazi.Wachina hawajui kiingereza lakini nchi yao ndio ya pili kama si ya kwanza kwa uchumi duniani. Na jiulize waliwezaje kujenga TAZARA, Uwanja wa Taifa nk kwa ufanisi wakati hawajui kiswahili wala kiingereza! Nilifika Kiwira Coal Mine. 90% ya wafanyakazi ni watanzania. 90% ya Mitambo yote ya makaa ya mawe pamoja na ile ya kuzalisha umeme instructions zimeandikwa kwa kichina.Lakini wafanyakazi wanaitumia na wanafanya kazi fresh!
 
Kwa wachina sawa kwa sababu wao wamejifunza hayo mambo kwa lugha yao, so hawahitaji kiingereza kujenga reli nk. Kinachogomba ni pale unaposhindwa kabisa kujieleza kwa lugha mbayo umejifunzia hayo maarifa ambayo unataka kuyatumia katika kazi.
 
Mkuu ungekuwa jirani na mimi ningekutoa na lunch ya chips mayai mawili na tomato......ofisini kwetu kuna wadada kama wawili hv kila mtu anawagwaya kwenye hiyo lugha lkn utendaji......mama yangu!......

Haha nitumie japo picha ya chips yai nishibe kwa macho...me mwenyewe kizungu sijui ila likija swala la kuchapakazi ni mchapakazi hatareee...n I love my job...ila interview za watu ndo km hivi wanakutosa saanaaa
 
Kwa wachina sawa kwa sababu wao wamejifunza hayo mambo kwa lugha yao, so hawahitaji kiingereza kujenga reli nk. Kinachogomba ni pale unaposhindwa kabisa kujieleza kwa lugha mbayo umejifunzia hayo maarifa ambayo unataka kuyatumia katika kazi.

terms tunazijua sana. tatizo nyama nyama za kujazia. walimu wenyewe class wanafundisha kma kiswahili tu. labda kama mmesoma nje.
 
Huu uwongo maana hata ukiweka kwenye Ms word hizo sentence ndefuuuuu bila full stop itakustua. Alafu spelling error, aliandika kwa kutumia nini word au? Kasheshe. Ila mpe kazi kijana.
 
mfumo wetu mbovu wa elimu kasoma ilalangulu p/s alikaa chini,mfumo wetu wa shule za kata shule nzima walimu watatu ukampatia nafasi adimu ya kusoma sekondary,form vi akapata principle 2,akapata chuo kiualali kabisa akagraduate hata kama lower class,yeye ni graduate msomi wetu wa tanzania.MIMI nasema apewe kazi kutokujua lugha ya kikoloni sio kwamba atoweza kupaform
 
Back
Top Bottom