miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Kwanza wapeleke kaka zako wa kishumundu....maana ubahili wao umepitiliza kiwango....duh..
Hhahahahaaaa.....wacha mikwala yako wewe....nitakumwagia dengelua ulewe alafu nikuibie hivyo visenti vyako ulivyodunduliza.........
Una bahati imeniishia...........ha ha ha ha mtani nimwagie basi
Una bahati imeniishia...........
Nani kakudanganya....hebu nenda milimani...ukaone mighorofa ilivyopanda hewani wakati nyie mnashindana kupanda migomba tu....yaniwe mtani we unakufa hela umeweka chini ya ghodoro.. acha ubahili,.. sisi tunatafuta alafu tunatumia
ha ha ha ha mtani sawaNani kakudanganya....hebu nenda milimani...ukaone mighorofa ilivyopanda hewani wakati nyie mnashindana kupanda migomba tu....
Hhahahahaaaa.....wacha mikwala yako wewe....nitakumwagia dengelua ulewe alafu nikuibie hivyo visenti vyako ulivyodunduliza.........
mae unaona watani hawa wanaleta ligi
Nani kakudanganya....hebu nenda milimani...ukaone mighorofa ilivyopanda hewani wakati nyie mnashindana kupanda migomba tu....
Tulia nitakumwagia soda ujue......ha ha ha hamtani ilooooo
Mbona maghorofa ya kumwaga tu huko upareni tena mengine tunafugia mbuzi.....we sema tu unataka uwe mpare....kwa taarifa yako wenyewe tumeenea.....mlima gani labda???? Mpare akijenga ghorofa mi nabadili kabila
Genge la msela hilo
relax mae maana sisi ni made in marangu.. wala wasikupe tabu
Hahahahaaa....Marangu ni tawi la kishumundu tofauti ni location tu..........relax mae maana sisi ni made in marangu.. wala wasikupe tabu
Mbona maghorofa ya kumwaga tu huko upareni tena mengine tunafugia mbuzi.....we sema tu unataka uwe mpare....kwa taarifa yako wenyewe tumeenea.....
long time no see......sijaelwa kitu
Tulia nitakumwagia soda ujue......
Hahahahaaaa....wewe unataka bakora......ndo nimekupata sasa mtani.. magorofavya miti kumbe.. basi sawa
Basi mtani kuwa na amani nimesitisha zoezi langu la kukumwagia kimiminika.........mtani unakoelekea utanimwagia maziwa mgando nakuona mtani