Are you mummy's boy ?

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Kila Kitu mummy mummy .Una mume au mke mummy mummy all the time .
 
Never been a mama's boy.

When I was younger I can say I was a daddy's boy.

But overall I'm very self-contained and I've been this way pretty much all my life and I like it.
 
Kila Kitu mummy mummy .Una mume au mke mummy mummy all the time .

LOL..ile hali hua inatokea automatically si kwamba mtu una plan, sometimes unaweza usipomsikia au hata kufanya nae mawasiliano unakosa peace of mind..#BINADAMU TUNA TOFAUTIANA Natalia mdogo wng!
 
Last edited by a moderator:
Kila Kitu mummy mummy .Una mume au mke mummy mummy all the time .

unategemea umelelewa na nani zaidi maishani. single parent families kama Diamond iko obvious lazma awe mama's boy kwa sababu mama yake ndio kamkuza na kumuhangaikia. uzuri wake watu wa namna hiyo huwa hawana matatizo hasa yahusianayo na ukatili. pia ni wanaume ambao wakioa wana-appreciate wake zao sana na kuwafananisha na mama zao japo wengi wanasemekana kuwa wavivu na kutokupenda kusoma au kufanya kazi kwa bidii lakini inategemea zaidi na malezi ya mama kwa mummy's boy zaidi.
 
mumy is everything thats why mumy mumy all the time,ka sio mumy utataja la muumba ako
jikwae au ajali ikutokee uone kama utataja jina la my wife/my hubby wako.......,
 
Juzi jpili nimekutna ana mummys boy nilihama meza
ilikuwa hivi.
Nilikuwa na yule dada tunapata kifungua kinywa ,akaniambia mtoto wangu wa kiume atakuja hapa sasa hivi kanipigia simu ngoja nile haya mayai ya kukaanga haraka maana akifika hapa anapenda kweli ,si nikajua ni katoto kadogo!!! Mara anatokea jianaume limeweka na dawa kichwani na limenyoa kama kiduki anarembua machooo kheee''mumy how is my hair style ,umetokelezea kweli limekaa pembeni ya mam yake cloose,mh nikamuuliza huyu ni mwanao kweki yule mama na mtoto wake walinishangaza sana mama akasema mara nyingi tukiwa bar tunakunywa anamwambia watu wengi wanajua wewe ni boyfriend wangu astakhafurlah nikamwangalia yule mama sikuamini anachosema na yule kijana akarudia the same maneno,mara yule kijana simu ikaita huyo aliyempigia nafikiri ni gf wake kumuuliza uko wapi!niko madam cash hapa with my dear mama huku anampapasa papasa .nikahama meza lol!!!sasa huyo aje aoe kweli mwnamke utawambia nini???kila kitu with mummy with mummy lolhuku jicho limerembuka!!!
 

hahaa hiyo imenikumbusha movie moja inaitwa Think like a Man Act like A woman.kuna babys mama huyo hatari
 
kukuzwa na mama tu na kuwa mummys boy ni vitu viwili tofauti
 
Nivea sawa sawa wacha watoto wawe Mummy's Boy.maana hawa wanaume wanatupa mimba wanakimbia unahangaika na mimba toka ina mwezi mmoja adi anakuja kuwa baba mtu mzima unategemea ataacha kukupenda mamake na kudeka kwa mamake?Ingali hajawahi kuona baba wala kutajiwa jina la babake?

Mie wangu ndo ana miaka 3 lakini haishi kusema ya mama mamayangu mamaa kila akiniona anajidai na mie na kudeka kwa sababu yy ni kila kitu kwangu na mie ni kila kitu kwake.baba alikataa mimba ikiwa na wiki sita adi leo nimejilelea mwenyewe.nimehangaika na uzazi mwenyewee sasa unategemea huyoo mtoto atakuja kupenda babake au kumthamini mwanaume zaidi ya mamake au mwanamke yeyeto?
 
nilipochunguza kuuliza watu wa hapo pembeni wakasema baba na mama huyo waliachana watoto wote wa 3 wamelelewa na mama yao.il ababa anawatunza ni fogo mmja so its the same senarior as u nakubliana na wewe ila chunga asiwe legelege waka mnaniliuu mwenzangu
 

Wengi wa aina hii from dad's girl to mummy's boy wana zao siri nafahamu kama makundi 4 ya hawa na 2 ni kundi la ndugu zangu kabisa na proof without doubt mawili kati yao wana mahusiano ya kimapenzi na tena wanahusiana kwani huyu mmoja mzee alikuwa anahamisha mapenzi hadi kawagegeda mabinti 3 na waliochomoka 2 anawachukia kiama na sasa mmoja kamfanya almost mke kabisa. Kwa hiyo Nivea kama una time endelea kufuatilia hili picha kuna siku utaona au kuhadithiwa sodoma LIVE.
 
oh god forbid kwa kwel let me see
 
kukuzwa na mama tu na kuwa mummys boy ni vitu viwili tofauti

Wengine wamelelewa na wazazi wote ila ni mummy's boys na dad's girls, watu wanasikia lele hawajui ndiyo ngoma inakaribia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…