kwa hiyo hii ni fact au proof? articles zenye mistari kama hiyo zimejaa kila kona,hasa fiction books hazinogi bila kuchomekewa those ghosts and allien myth.
kwa hiyo hii ni fact au proof? articles zenye mistari kama hiyo zimejaa kila kona,hasa fiction books hazinogi bila kuchomekewa those ghosts and allien myth.
Huwa sielewi ni kwa vipi ni rahisi watu kuamini dunia kushikiliwa na "mhimili" lakini ikawa ngumu kwao kuamini kwamba there is supernatural power behind creation.Huwa sielewi ni kwa vipi wengi wetu tunaamini consensus scientific beliefs kwamba there is a gravitational force kwa vile tu tunaona effect zake lakini watu hao hao hatuamini consensus religious beliefs kwamba kuna viumbe in another dimension superior to us vyenye effect katika maisha yetu ya kila siku.Mie siku hizi situmii nguvu nyingi kuelezea mambo haya kwa sababu najua nini kinakuja mbele.Labda tunapishana life exposures!Let us wait and see!I hope it will never be late for some of us!!
mkuu inasemekana hao aliens wana offer technology ya hali ya juu sana kwa taasisi za kijeshi za US government.labda ndio sababu wa-US wanajiamini sana kijeshi na kujiona world number one super power nation.Aliens wapo na kuna new evidence ina suggest walikuwepo zamani
Series ya "ancient aliens" inaelezea hiyo dhana kwa ufasaha zaidi
On the modern front first encounter ya extrasterestrial beings ilikuwa "Roswell crash" New Mexico marekani
Majestic 12 na Area 51 ndo zikawa established kwa executive order ya rais Truman
Hii kitu ni siri sana watu wa juu ndani ya inteliigence services za marekani na ulaya ndo wanajua
Kuna kipindi flani Bill Clinton alikataliwa flatly na pentagon kuambiwa kuhus haya maambo ya aliens. Ni need to know basis
Ndani ya NATO watu wenye "cosmic top secret" security clearance ndo wanajua hizi covert operations
Nimetafakari sana swali lako. You must be very intelligent! Ni kweli mkuu. I wapo hapa duniani tu kuna viumbe visivyoonekana (hili hata wana-science wananalikubali) inawezekana kabisa katika sayari nyingine vipo viumbe vingine vya aina nyingi tu ambavyo hata wana-science hawajavigundua bado.
Thread hii ni ya kisomi lakini kwa bahati mbaya haitakuwa na wachangiaji wengi kwa kuwa upeo wa watanzania wengi wa kuchambua mambo unaishia kwenye siasa za CCM na CDM basi. Ukiwaletea mambo kama haya, wengi wao elimu yao ni ya kata, hawana mchango wowote wa maana! Wanaishia kutukanana tu!
tena hao viumbe ndio wameiteka ndege ya Malaysia hao