karibu sana!
yani humu ni full kutokuwa mchoyo wa material
kushare kwa kwenda mbele
halafu principal wetu anaturuhusu kudesa wenzio
na maksi zinakuwa za wote!
kufanya make up za test kunaruhusiwa sana tu
ukifail wa leo maksi ndogo zinafutwa unasubiriwa ufaulu wa kesho ndo maksi kuwa zinawekwa!
wacha kabisa hii shule ni tamu ile mbaya!
wepesi tu wa kujifunza ,kukubali kuwa swali umelikosea na kuomba masahihisho
kusaidiana kwenye test na mitihani ndo mpango mzima wa darasa hili!
natamani ningeijua mapema hii shule....karibu sana!
yani humu ni full kutokuwa mchoyo wa material
kushare kwa kwenda mbele
halafu principal wetu anaturuhusu kudesa wenzio
na maksi zinakuwa za wote!
kufanya make up za test kunaruhusiwa sana tu
ukifail wa leo maksi ndogo zinafutwa unasubiriwa ufaulu wa kesho ndo maksi kuwa zinawekwa!
wacha kabisa hii shule ni tamu ile mbaya!
wepesi tu wa kujifunza ,kukubali kuwa swali umelikosea na kuomba masahihisho
kusaidiana kwenye test na mitihani ndo mpango mzima wa darasa hili!
natamani ningeijua mapema hii shule....
sawa wa kunyumba ntakualika tuje tuserebuke wote baada ya kumpata classmet wangu.hujachelewa my dear!
Fanya application kwa principal wetu atakujibu this very soon na atakuelekeza dawati alipo classmet sahihi!
kisha ujage tujilie miraha ya shuleni kwetu!
MUHUBIRI 3:3
Looh! Umenipa appetite ya kwenda kula...Umegusa maisha yangu ya shule na my mate huku principal akiwa karibu kila tukimhitaji, ogepa principal asielala wala kuchoka. Mungu abariki ndoa ziwe kisima cha upendo wa dunia mzima.
una uhakika huo mda wa discussion mwenzako anakua hajachoka?
ahahahhahahhahahha umenichekesah hapo kwenye bold my wee loh!vigezo na masharti kuzingatiwa heheheheee, najitahidi kuhakiki kama yuko sawa kwa discussion kama hatakuwa sawa basi naweza mruhusu apumzike nikasoma na kesho nikamwelezea au tukapumzika wote ili wote tuwe fresh kesho yake. Uzuri wa shule hii kama alivosema my wee snowhite hamna kunyimana material na kugelezea imo hivyo kama kachoka anakuwa muwazi kwangu na kuniambia, ''baby nimechoka........''
ahahahhahahhahahha umenichekesah hapo kwenye bold my wee loh!
naimagine tunavogelezeana ahahhahahhahha uuuwih hebu ngoja niwahi kuandaa material mimi manake leo nahis kuna boonge la take home assignment ,KESHO SI HATUJI KAZINI ehn?
basi mwake!
my wee darasa jema mwaya ! full maparticipation kwenye discussion sitaki kukosa maksi hata moja ujue loh!
Speaker enh
kwaheri bana mimi humu nafikir tutaonana sijui kesho manake nahisi ntasoma mpka vipindi vya asubuhi mfululizo kwahiyo nisiulizwe wala nistafutwe!ahahahhaha na we uende huko maswala ya kutegeana kwenye assgnment sio mazuri!funga pc itafute njia ya home!
toa kabisa topic ya leo ukiwa njiani!
COURSE OUTLINE muhimu babu!lol