Nichukue nafasi hii kukuuliza mwanajukwaa mwenzangu
Je unafuraha, je una amani?
Je mwenyezi Mungu kakujalia hitaji lako la moyo?
Je mahusiano yako na Mungu yako sawa? Vipi na mahusiano yako na ndugu jamaa na marafiki?
Kipi kinakuhuzunisha? Sema hapa leo pengine moyo wako utapona au utapata msaada
Karibu sana Jukwaani....