Are they legally binded?

Transcend

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
20,545
63,023
1453109424693.jpg


Ngoja atie mabanda yote sasa kama hajapata mtaji...
 
Mzazi sio mjinga, nahisi na yeye alishapitia mtiti wa PCB, tuliosoma hii combination tunajua mtiti wa hii kitu, hao mtoto labda atoboe kwenye BAM
 
hii kitu hakuna saini ya shahidi, dingi lazima aruke mtiti, mtoto anapiga A zote, alafu kesho yake asubuhi dingi anashituswa na majaliwa anafanya ziara ya kushitukiza ofisini kwa dingi na ghafla maji yana zidi unga.
 
Back
Top Bottom