Nchi zilizoendelea wanatoa movie kulibgana na uhalisia wa kitu. Unaweza kusema ni story ya kutunga ila pale kuna kitu wanakuonesha.Mkuu zile ni fictitiously thrilling movies...lakini najua wenyewe wazee wa jando wapo humu!
Heri ya mwaka mpya analyst..Freelancer hata hao watoto wako (kama unao) kuna umri ukifika wanaweza kutumiwa kukuzunguka vizuri sana, bila wao kujua kama wanafanya kazi ya ujasusi. Kuna namna ya kuwa seduce kisha wakajaa kwenye kumi na name za wazee wa kazi wakijua wanaongea na jirani ama rafiki kumbe wanatumika kumsaliti baba yao unknowingly......
cc: de'levis
Nimemiss de'levis jamani cjui kapotelea wapFreelancer hata hao watoto wako (kama unao) kuna umri ukifika wanaweza kutumiwa kukuzunguka vizuri sana, bila wao kujua kama wanafanya kazi ya ujasusi. Kuna namna ya kuwa seduce kisha wakajaa kwenye kumi na name za wazee wa kazi wakijua wanaongea na jirani ama rafiki kumbe wanatumika kumsaliti baba yao unknowingly......
cc: de'levis
sawa.....Spies are both made and born although in many countries are made
Siyo rahisi kukataa. Unashauriwa na mtu wako wa karibu. Anaweza hata kukupa mifano ya watu waliofanikiwa kupitia njia hizo. Imagine unashauriwa na mtu aliyekulipia ada na good still anachokushsuri unakimudu?Je nikikataa je nn kitafuata?
Espionage combines both science and art
Tupo tupo mkuu majukumu ndio mengi tu ndugu yanguwakuu wa kambi Infantry Soldier na de'levis where are you brothers? you guys still have a lot to tell us
ukisema lugha yoyote hapa.. nitashusha kisukuma tukimbiane humu..!!!!Unaweza jibu kwa lugha yoyote kati ya kiingereza ama kiswahili
Some of the activities they conduct could be some form of espionage.. But within diplomatic community there are those who are spies by professional like being there at their diplomatic post is solely for espionage mission. But the rest of the diplomat could be also conducting espionage in an implicit fashion,because some of the reports they compile could be interpreted as doing espionage indirectly. For example those cables that are wired by American diplomats are one of the ways of gathering intelligence be it political or economical..
kaingia mitini...Katika hii thread
de'levis is one of the best. Freelancer call this gentleman bado tunataka nondo zake na zako.
uzima badp upo...ni hivi tu kwamba nimekabidhiwa bustan nayotakiwa kuitunza...miche bado ni midogo sana na inahitaji uangalizi wa karibu sana..vitalu viwili mbegu zake ziliwah kufika hizo tayari tumeziondoa na kwenda kupandwa shambani lakinbvitalu vilivyopo bado miche yake ni ya juzi...kaingia mitini...
uzima badp upo...ni hivi tu kwamba nimekabidhiwa bustan nayotakiwa kuitunza...miche bado ni midogo sana na inahitaji uangalizi wa karibu sana..vitalu viwili mbegu zake ziliwah kufika hizo tayari tumeziondoa na kwenda kupandwa shambani lakinbvitalu vilivyopo bado miche yake ni ya juzi...
na pia kuna kaz ya ziada mara nitokapo bustanini huwa naifanya ya kutengeneza mishumaa..hii nayo inaninyima mda mwingi wa kuingia huku...nadhan baadae nitatenga mda wa kuwa naingia huku..
hahahahahaaaaa mkuu comandante de'levis punguza comedy mkuu. Wewe na kilimo wapi na wapi kaka?uzima badp upo...ni hivi tu kwamba nimekabidhiwa bustan nayotakiwa kuitunza...miche bado ni midogo sana na inahitaji uangalizi wa karibu sana..vitalu viwili mbegu zake ziliwah kufika hizo tayari tumeziondoa na kwenda kupandwa shambani lakinbvitalu vilivyopo bado miche yake ni ya juzi...
na pia kuna kaz ya ziada mara nitokapo bustanini huwa naifanya ya kutengeneza mishumaa..hii nayo inaninyima mda mwingi wa kuingia huku...nadhan baadae nitatenga mda wa kuwa naingia huku..
Walah nimekuelewa sana mkuuuzima badp upo...ni hivi tu kwamba nimekabidhiwa bustan nayotakiwa kuitunza...miche bado ni midogo sana na inahitaji uangalizi wa karibu sana..vitalu viwili mbegu zake ziliwah kufika hizo tayari tumeziondoa na kwenda kupandwa shambani lakinbvitalu vilivyopo bado miche yake ni ya juzi...
na pia kuna kaz ya ziada mara nitokapo bustanini huwa naifanya ya kutengeneza mishumaa..hii nayo inaninyima mda mwingi wa kuingia huku...nadhan baadae nitatenga mda wa kuwa naingia huku..
kwenye biblia kuna mstari mmoja unasema ..si vizur chakula cha watoto kuwapa mbwa..jaribu kupata mda uutafakar kama unaamin katika maandiko..hahahahahaaaaa mkuu comandante de'levis punguza comedy mkuu. Wewe na kilimo wapi na wapi kaka?
sawa mkuukwenye biblia kuna mstari mmoja unasema ..si vizur chakula cha watoto kuwapa mbwa..jaribu kupata mda uutafakar kama unaamin katika maandiko..