Are spies made or born?

Vetting ni gharama lkn itapunguza gharama ukikaa nao wakiwa jkt kwa miaka yote miwili
Wakat wanamaliza majina yasomwe wewe unaadhabu hutamaliza sasa utaendelea miez nane wasioteliwa warudi uraian
Watazame kwa mwezi mmoja ukiwa kazi nyingi kama wamefika jana utagundua nurtured attributes
Ukiwq na file la mmienendo yao ya miaka miwili na la miez miwili ya adhabu
Utagundua tu huku ukitumia watu kupata taarifa us shulen na kwao kaz imeisha

Wanausalama wa tz na wajeda wengi zaman walitoka jkt kwa vetting ya hivyo achana ya kumfatilia mtu utahangaika Kwan wengine wanna maisha ya kuigiza dairy
 
Japokuwa hiyo njia ni nzuri, lakini nadhani wananjia nyingi nzuri zaidi ya hiyo
 
kaka, ufafanuzi kidogo sana hapo kwenye BOLD tafadhali
 
Thank you
 
mkuu de'levis naomba msaada kwa haya:

(1) inawezekana kwa mfano mossad ama CIA wakawa na recruitment school ndani ya nchi adui kama Iran pasipo idara za usalama za Iran kujua?

(2) pia, jaribio la mapinduzi ya kijeshi huko Turkey linaweza kuwa termed as "intelligence failure" i.e. kushindwa kwa idara ya ujasusi za Uturuki kuweza kunusa harufu za njama zozote za kupanga mapinduzi?
 

Najaribu la pili Kwa sababu daima intelligence ni sensentation the way you think and draw a realistic conclusion

Turkey's failure coup detat ni suala ambalo lilikuw chini ya ulinzi wa askar daima mapinduz yanajulikana na ngazi ya juu ya wqnajeshi ambapo hutumiq military calls to link information ambazo daima hacking ni ngumu na wataalamu wa mawasiliano jeshin kama Turkey unaona ndio njia iliyotumika hata kama n via the traditional ways

Intelligence failure tungeipima endapo wangeteka ikulu au sehemu ya nchi Kwa sababu mtoa taarifa hakuwa makin

Nasema hivyo Kwa sababu
Coup ya Turkey ilitaka kulihusisha jeshi zima hivyo hilo lilishindikana na ndio maana hao ambao hawakuafiki waliupinga pia
Hoja ya marekan unataka kuihusisha na Turkey Kwa sababu ambao hawakuafiki walitoa pia taarifa kuwa marekan itakiwa nyuma yao ili kusolve economic issues ambazo realistic ndio sababu ya mapinduz hayo sio intelligence failure Kwa sababu kila kitu ndani ya jeshi kilijulikana ila hawakujua tarehe ila walijiandaa

Marekan hakushiriki ila aliwaaproach
 
mkuu Ramark inawezekana vipi idara ya ujasusi wa kijeshi ya Uturuki failed to sniff around, smoke out and foil the coup plot. kazi ya intelligence apparatus ni kujua mambo hata kabla hayajatokea ili kutoa uwezo kwa law enforcement kuweza kukamata wa husika na kuwaweka panapohusika. now, what went wrong with this Turkish scenario?

ama tuseme ni mbinu tu za bwana Recep Tayyip Erdoğan kutaka kumaliza wapinzani wake kwa kuwauzia kesi ya kufanya mapinduzi na yeye kuweza kujiimarisha madarakani kwa kupata sympathizers wengi?
 
Kiundan nchi ilikuwa vipande hivyo anataka aiunganishe nassikia jana kawafunga polis 8000,
Taarifa zote wanazo na ndio maana ikulu na jeshi limeweza kuwadhibiti waasi zaid ya 1000
Daima ujasus haukai pweke kweny tawala tata kama hizi
Uplan your way people prepare your grave and a way of burying everything
Bila Gud gathering of ii wasingefanikiwa hivi bali kuna mangufu madogo kama nice
 

de'levis;
Ebu naomba ujaribu kupitia posts zangu halafu uniambie mimi nikoje.
Natanguliza shukrani zangu
Makanyaga
 
NB: mwambieni Invisible auweke uzii huu sticky maana kuna mda nautafuta siupati
de'levis;
Kutafuta uzi kirahisi fanya hivi:
Click kwenye profile yako (kwenye avatar yako), halafu kuna link utaiona inasema "show all posts by de'levis" au inasema "show all RECENTposts by de'levis" . Threads zote ulizochangia utaziona hapo. By the way, just out of curiosity, how old are you? 60+ may be?
 
mkuu de'levis naomba msaada kwa haya:

(1) inawezekana kwa mfano mossad ama CIA wakawa na recruitment school ndani ya nchi adui kama Iran pasipo idara za usalama za Iran kujua?
Mossad ama CIA wanaweza kuwa na mbinu nyingi sana za kuweza kufunza majasusi wao ndani ya nchi hasimu/adui kama kitengo cha counterintelligence cha nchi husika hakiko imara na spy catchers wamelala ama kuzidiwa mbinu za kazi, ila kwa nchi kama Iran kutokana na kuandamwa na maadui wengi kutoka nchi za magharibi pamoja na baadhi ya nchi jirani za kiarabu, hawa jamaa wapo macho 24/7, hivyo sidhani kama itakuwa rahisi aidha wa Israel ama marekani kujaribu kufanya kitu cha namna hiyo
nimejaribu kidogo
 
umejitahidi kufafanua kadri ya uwezo wako lakini maelezo yamesimama na yanaeleweka vizuri
 
mkuu, sasa kwa tanzania hii hao wenye IQ kubwa tutawatoa wapi kwa mfumo wetu huu wa elimu???
sidhani kama I.Q kubwa huletwa na mfumo bora wa elimu katika nchi husika, bali I.Q ya mtu ni kitu ambacho binadamu huzaliwa nacho (genetic makeup) plus mazingira anayokulia yakimzunguka huchochea ukuaji wa uwezo mkubwa wa kufikiri, pia mnaweza kunisahihisha
 
Tanzania hakuna Intelligence agency. Hawa TIIS ni watu wafitina tu. Bora mara 100 Directorate of Military Intelligence (DMI) hawa wanafanyakazi haswa. Lakini TIS wamebaki watu wa kuweka fitina tu.
kungekuwa hakuna intelligence apparatus hapa tanzania sidhana kama ungekuwa na muda ama utulivu wa kuweza kukaa na kuandika haya unayoandika hapa.

TISS are too smart to disguise the way they operate and do their things to the extent kwamba mtu kama wewe huwezi kujua kama wapo na wanafanya kazi. nevertheless, they are as humans as you and i, so errors and miscalculations are inevitably there.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…