Are people born Gay ?

Sasa kama hivyo ndovyo, uliza swali ambalo majibu yake yanajibiwa ma Baiolojia.

Nasubiri swali hilo.
kabla hatujafika huko nataka nijue hapa tunapamalizaje

niweke wazi kwa kunionesha mahali ambako nimeandika hayo maneno kua "biolojia ina majibu yote"
 
Kama we ni mtu wa dini na ulishajipambanua wazi kua wewe ni mtu wa dini gani.

Imekuaje tena utuulize swali kama hilo wakati kitabu cha dini yako kinadaiwa kua hakijaacha kitu?
Hahaha kitabu hakijaacha kitu lakini ajabu iliyopo hata technology ya kutengeneza kijiko hawakuigundua wao 😂
 
maoni haya ni irrelevant kwasababu hayajaeleza kuhusu watu kuzaliwa wakiwa mashoga
Hayo yameonyesha ya kuwa watu hawazaliwi wakiwa mashoga ndiyo maana walipo leta usenge wakapewa adhabu kali mno.

Swali lako lingine linasemaje ?
 
kabla hatujafika huko nataka nijue hapa tunapamalizaje

niweke wazi kwa kunionesha mahali ambako nimeandika hayo maneno kua "biolojia ina majibu yote"
Rejea ulipo andika hapo awali.

Naona hoja imekushinda unaanza kukimbia kivuli chako. Mimi nipo utanikuta hapa hapa.
 
Swala la.ushogwaclass ni changa moto kupata majibu yake uchi uchi tu. Bali ni ishara ya shetwani yupo na anapigania watu wake waendelee kuwa nae
 
Binafsi Huwa na Mashaka na mtu yoyote anayeanzisha Mada kama hizi, hata Kama akijitetea kuwa yeye ni Rijari, napata shida kumwamini .....!
 
Hayo yameonyesha ya kuwa watu hawazaliwi wakiwa mashoga ndiyo maana walipo leta usenge wakapewa adhabu kali mno.

Swali lako lingine linasemaje ?
Verse ipi hapo imeelezea kua watu hawazaliwi mashoga?
 
Rejea ulipo andika hapo awali.

Naona hoja imekushinda unaanza kukimbia kivuli chako. Mimi nipo utanikuta hapa hapa.
Ngoja nirejee kisha unioneshe hayo maneno
Wenye akili timamu huwa hatuchezi kamari.
Hapa ulikua unamjibu mdau mmoja
Tupe uthibitisho wa kibaiolojia unaothibitisha watu wasio timamu hucheza kamali
Nikakuuliza
Tangu lini Biology ikakupa majibu ya kila kitu ?
We ukaja na hii statement

Sasa nataka u-highlights hayo maneno au ikiwezekana weka screenshot kutoka kwenye post yangu ikionesha mimi nime demand kua "biology ina majibu ya kila kitu"
 
Soma aya ya 166.
"166. Na mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu? Ama kweli nyinyi ni watu mnao ruka mipaka!"

Wapi hapo aya imeeleza kua watu hawazaliwi mashoga?
 
Safi kabisa, swali lako ulilifunga katika jambo moja la Baiolojia, hapa ulionyesha ya kuwa jibu la swalo lako lipo katika somo hilo ? Unakubali una kataa ?

Mimi nikakuonyesha ya kwa maana ya siyaki ya swali lako ni kuwa umeegemeza majibu katika somo hilo. Nikakuuliza na kukujibu humo humo ya kuwa Baiolojia haina majibu ya kila swali hata kama hujasema wazi ila maana yako inaelekeza humo. Sasa ulitakiwa ukiri ya kuwa somo hilo halina jibu la swali ulilo uliza.

Ndiyo maana nikakwambia uulize kwa usahihi.
 
"166. Na mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu? Ama kweli nyinyi ni watu mnao ruka mipaka!"

Wapi hapo aya imeeleza kua watu hawazaliwi mashoga?
Safi kabisa maana ya aya na kiasili sisi tumeumbiwa wanawake yaani tuwaingilie wanawake na si kinyume chake, maana yake unapo acha asili ujue ya kuwa hukuzaliwa katika hali hiyo zaidi ya kuichagua. Ndiyo maana wakawepo Wanawake, na si mwanaume amuingilie mwanaume mwenzake au mwanamke asagane na mwanamke mwenzake.

Naona ulitaka uone kauli imesema ya kuwa "Mashoga hawazaliwi". Una ufahamu mdogo sana wa kung'amua mambo.
 
Haifai kuongelea mambo ya ugay kuna watu wanaweza kuchukulia ni jambo LA kawaida kupitia bandiko lako na hata maoni ya baadhi ya watu humu
 
Haifai kuongelea mambo ya ugay kuna watu wanaweza kuchukulia ni jambo LA kawaida kupitia bandiko lako na hata maoni ya baadhi ya watu humu
Lazima tuyaongelee mambo haya sababu watu wanayaona ni ya kawaida hali ya kuwa ni jambo la ajabu na lina madhara makubwa sana katika vizazi vijavyo.

Unapo kalia kimya ujinga na uovu vizazi vinavyokuja lazima votaona jambo hilo la kawaida, angalia mfano wa Kamari kiuhalosia ni jambo baya sana, lakini linavyo tangazwa na kukaliwa kimya, wapo watu hayo ndiyo maisha yao.

Kwahiyo hakuna kanuni inayosema kulikalia jambo ovu kimya ndiyo kuliondoa au kulififiza jambo hilo. La hasha, hili halipo tangu dunia imeumbwa.
 
hujalielewa swali

nimekuomba unioneshe hayo maneno kutoka kwenye post yangu nikiongelea habari za biology kujua kila kitu
 
hayo ni maneno yako umeyatoa kichwani kwako na sio kwenye hiyo aya, hakuna mahali kwenye aya imesema kuhusu swala la watu kuzaliwa au kutokuzaliwa mashoga
 
Nenda youtube fuatilia story ys ukweli ya anti Asu alivyokuwa gay na kufanya kituko cha kufunga ndoa Zanzibar lakini wakamsitukia anasimulia mwenyewe alikuwa mwenyekiti wa gays Tanzania sasa ameoa na watoto na ni mlokole mzuri tu. Kama kuna mtu hapa anataka kuacha ushoga amtafute anti Asu Youtube kuna taarifa zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…