Are asexuals real?

Are asexuals real?

Huyo jamaa yake hakua fundi kwenye yasnia hizo so alimharibu kisakolojia na ndio maana hana mpango kabisa ila akikutana na mafundi atabadilika tu.Naomba kama una mawasiliano yake unipe na detail kama mkoa anaoishi kazi anayofanya halafu mm nitakupa majibu
 
Kama wapo wasioweza kulala bila ngono pia wapo ambao wanaweza kuishi bila ngono yaani wanaichukia sana tu..

Kuna jamaa yangu asipo fanya ngono kwa siku anaumwa kabisa!Enzi zile tupo chuo hela zikiisha basi ilikuwa hachagui hadi vikongwe anachukua yy anacho jali ni kupata!

Nilipo soma jina lake kwenye Bunge hili la Katiba nilijua sasa shughuli imehamia Dodoma ahahahaha!
 
Hehehehehe hii ni noma sanaaa
 
Hapokwenyekuichukiakweli sababuzipoilakwawanaopenda kupitilizasijuininikinasababisha

Z all about the skills,treatment and satisfication on bed
Most women wanapoteza hamu ya kufanya mapenzi sababu Wa "dumb a.ss men" they have on bed but when u meet sm1 that monster o skilled on bed u will see the world with different perception
 
Back
Top Bottom