Ardhio ni nini?



Hahhahahahaaa hii mpya kwangu🀣🀣🀣🀣
 
It sense like tamanio ama dhamira unayotaka kuitekeleza lkn hizo ni tafsiri zangu tu..
 
Kwakweli kiswahili kimekuwa kigumu siku hizi! mimi tangu wanatangaza sijaelewa maana yake hadi sasa🀣🀣 labda kwa kuwa siku hizi wanasimama na wameongeza masofaπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ
 
Ardhio plus ardhia!!πŸ€”πŸ€” Jibu ni kubalio.πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…