Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
<br />Ungesema mwarabu ungeungwa mkono! Lakini hao wafadhili wa CHADEMA.........
Kwa waliofika Bagamoyo kama unaelekea Msata Kuna Dayosisi flani hapa dar imepewa hekari 400 na inauza kwa mtu mmoja mmoja washarika Pembeni mwa shamba hilo kuna Mwisraeli ana hectarz of Land Mh kizazi kijacho mna kazi. Yani Ekar sh laki 4 usawa huu
Tupe jina la dayosis hiyo tukanunue ardhi hiyo.
<br />Sasa wewe ulitakaje? Hiyo aridhi ikikaa tuu kama pori ndio faida? Cha msingi ni serikali na wadau kuweka mzingira ambayo yatawezesha ardhi tuliyo nayo kuchangia kikamilifu katika pato la taifa> Huku kulia lia kwa wivu hakutatusaii kamwe.
Kwa waliofika Bagamoyo kama unaelekea Msata Kuna Dayosisi flani hapa dar imepewa hekari 400 na inauza kwa mtu mmoja mmoja washarika Pembeni mwa shamba hilo kuna Mwisraeli ana hectarz of Land Mh kizazi kijacho mna kazi. Yani Ekar sh laki 4 usawa huu
<br />Ungesema mwarabu ungeungwa mkono! Lakini hao wafadhili wa CHADEMA.........
<br />ndugu ninahitaji hilo na budget hiyo tayari, naomba contact za hapo please