Ardhi Yagaiwa kama Njugu Bagamoyo ni kupitia Mlango wa Kanisa

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
245
Kwa waliofika Bagamoyo kama unaelekea Msata Kuna Dayosisi flani hapa dar imepewa hekari 400 na inauza kwa mtu mmoja mmoja washarika Pembeni mwa shamba hilo kuna Mwisraeli ana hectarz of Land Mh kizazi kijacho mna kazi. Yani Ekar sh laki 4 usawa huu
 
Ungesema mwarabu ungeungwa mkono! Lakini hao wafadhili wa CHADEMA.........
 
Kwa waliofika Bagamoyo kama unaelekea Msata Kuna Dayosisi flani hapa dar imepewa hekari 400 na inauza kwa mtu mmoja mmoja washarika Pembeni mwa shamba hilo kuna Mwisraeli ana hectarz of Land Mh kizazi kijacho mna kazi. Yani Ekar sh laki 4 usawa huu

Sasa wewe ulitakaje? Hiyo aridhi ikikaa tuu kama pori ndio faida? Cha msingi ni serikali na wadau kuweka mzingira ambayo yatawezesha ardhi tuliyo nayo kuchangia kikamilifu katika pato la taifa> Huku kulia lia kwa wivu hakutatusaii kamwe.
 
<br />
<br />
nani kalia Shame upon your a. . . . hujui procces za kugawa ardhi lazima watanganze kwa watanzania wote na Ardhi itumike si wao wachukue wahodhi
 
Kwa waliofika Bagamoyo kama unaelekea Msata Kuna Dayosisi flani hapa dar imepewa hekari 400 na inauza kwa mtu mmoja mmoja washarika Pembeni mwa shamba hilo kuna Mwisraeli ana hectarz of Land Mh kizazi kijacho mna kazi. Yani Ekar sh laki 4 usawa huu

Mkuu hiyo haina shida usilalamike ilimradi wanauza kwa mtu mmoja mmoja tena mtanzania sio mbaya acha watazania wenzetu wapate nao ardhi ya kuendeleza,noma ni pale wageni wanapochukua maeneo makubwa malaki ya hecta wakati watz wanabaki bila kitu hapo ukilalamika sawa,lakini kwa watazania wanyonge kugaiwa kidogokidogo ya kulima mihogo sio mbaya.Hata wakigaiwa bure sawa watazania wenzetu nao wafaidike.
 
Guys lets bring some sense kwenye hili....
issue ni ardhi kuuzwa holela?
je ni suala la mmiliki wa ardhi kuamua kuuza ardhi yake?
je, tatizo ni bei?
au tatizo ni muuzaji??

if we are really serious about land disposal, twendeni kigamboni kuna mhindi ana heka laki mbili na ushee... sio hao wanaouza eneo kwa wazawa kwa bei hiyo
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom