P pendael New Member Joined Feb 22, 2010 Posts 3 Reaction score 1 May 11, 2010 #1 Ninatafuta ardhi kwa ajili ya kilimo cha matunda katika mikoa ya pwani. Naomba mwenye taarifa anijulishe. Ningependa sehemu isiyokuwa kame.
Ninatafuta ardhi kwa ajili ya kilimo cha matunda katika mikoa ya pwani. Naomba mwenye taarifa anijulishe. Ningependa sehemu isiyokuwa kame.
kanyagio JF-Expert Member Joined Dec 10, 2009 Posts 1,021 Reaction score 373 May 11, 2010 #2 nakushauri soma thread nyingine yenye title kama hii uliyoanzisha. pia soma 1) nimeamuka kulima kwa mara ya pili 2) sirudi nyuma
nakushauri soma thread nyingine yenye title kama hii uliyoanzisha. pia soma 1) nimeamuka kulima kwa mara ya pili 2) sirudi nyuma
Nyuki JF-Expert Member Joined Jul 7, 2009 Posts 367 Reaction score 15 May 11, 2010 #3 ni PM MKUU NINAYO HUKO KIBAHA VERY FERTILE LAND
M mamasito Member Joined Mar 15, 2014 Posts 23 Reaction score 1 May 1, 2014 #4 Naomba taarifa ya ardhi huko kibaha
xfactor JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,511 Reaction score 1,290 May 8, 2014 #6 pendael said: Ninatafuta ardhi kwa ajili ya kilimo cha matunda katika mikoa ya pwani. Naomba mwenye taarifa anijulishe. Ningependa sehemu isiyokuwa kame. Click to expand... Mkuu umepata dili la kuuza matunda nini?
pendael said: Ninatafuta ardhi kwa ajili ya kilimo cha matunda katika mikoa ya pwani. Naomba mwenye taarifa anijulishe. Ningependa sehemu isiyokuwa kame. Click to expand... Mkuu umepata dili la kuuza matunda nini?
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,915 Reaction score 30,027 May 8, 2014 #7 Nyuki said: ni PM MKUU NINAYO HUKO KIBAHA VERY FERTILE LAND Click to expand... Tuongee bei!!