Ardhi university

akili moja

Member
Oct 11, 2017
9
0
Wana jf naomb kuulza kuna yoyote ambae amechaguliwa Ardhi university katika course ya architecture akiwa na division 111.kama yupo anambie na mimi niomb round ya mwsho
 
Usijisumbue mdogo wangu, hautapata!

Kuna dogo ana division two kakosa!

Angalia course nyingine zinazoendana na ufaulu wako!
 
Back
Top Bottom