Hakuna coz isiyolipa ndio maana bado zipo zinafundishwa means bado watu wanahitajika
UKITAKA UIFAID COURSE YAKO NA UONE MATUNDA YAKE
/ukisoma ishi vizuri na watu
/usijione unajua sana
/sahau matokeo yako y form six, yaani usisome kwa ushindani na watu au uwe wa kwanza...
/ jione hufahamu kila kitu
/ soma kwa bidii huku ukielewa unacho kisoma
/ukienda field fanya kaz kwa bidii
/ onesha tabia njema kwa wakubwa n waliokutangulia na mabosi wako huko field.
.
.
karibu ARDHI karibu kwenye jengo la LMV lenye kofia