Chuo Ardhi ni moja kati ya vyuo vyenye course nzuri ambazo ni marketable ila fahamu tu ni miaka minne mpaka mitano uko darasani, course za miaka 3 zipo tatu tu, BSc. Economics, BSc Community Development ,,,,,,,,
Kwahiyo ni kusoma kwa kwenda mbele. Muda mwingi utakuta vijana wako madarasani mpaka usiku wa manane wakichora na wakati mwingine asubuhi inakukuta darasani.
Vijana wengi wamekuwa wakifanikiwa sana, hakuna anayekosa kazi, labda uwe umefeli na hukumaliza course yako. Ukadisco.
Karibuni sana