Architecture vs MD

Acha kuilinganisha kozi ya MD na kozi nyingine. MD ni level nyingine kabisa.
MD ni Universal, Noble and Life Professional. Kwa uchunguzi wangu binafsi niligundua kuwa mtu aliyesoma MD ndio mtu mwenye kujikubali, kujiamini, kuaminiwa na kukubalika zaidi katika maisha ya kila siku kijamii. Na hii kitu ni dunia nzima.

Kwa kifupi sana MD ndio kozi pekee duniani ambayo ukiiisoma dunia nzima(Kuanzia kijijini kwako mpaka kimataifa) watakutambua na kukuheshimu. Ni kozi fulani hivi yenye heshima yake kwa vizazi vyote. Ndugu na jamaa wenye familia yenye Daktari huwa wana hali fulani hivi ya furaha na faraja ya kimaisha. It is Very automatically. Sijui ni kwanini?

Kuhusu ajira, nadhani ndio kozi pekee yenye nafuu ya kupata ajira katika sekta ya umma na binafsi kwa sasa. Na katika sekta ya umma, udaktari ndio kada yenye mshahara mkubwa kuliko kada zingine zote.

Kipato cha wasomi wa kada zote kwa hapa Tanzania kwa wastani ni cha kawaida, hata MD ni hivyo hivyo, hivyo suala la kufanikiwa zaidi lipo kibinafsi zaidi.

USHAURI WANGU.
Nenda kasome kozi ambayo itakufanya ufurahi na wanaokuzunguka wafurahi pia, ikiwepo mkeo, mmeo, watoto wako, wajukuu zako, wazazi wako na hata marafiki zako.
 
Asante kwa pole sasa thibitisha kama kweli una kazi nyingi nigaie moja tuu nipate mpunga wa maana then naweza mshauri otherwise..[emoji23][emoji16]
 
Ulichokiongea ni sahihi ila upepo umechange kwa program zote hajira ni tatizo hivi sasa hata kwa hao MD
Juz zilitangazwa nafasi za ajira jeshin kwa kada za afya wakiwemo MD lkn huo umati uliojitojeza ulikua ni mkubwa mno hao wote inamaana walikua mtaani
Na hapo sio wote walioomba na sio wote watakao chukuliwa changamoto ipo hata kwa madaktari pia
 
Changamoto ya kila moja katika usomaji.
Ipi ni kozi bora kati ya hizo kwenye soko la ajira (kujiajiri au kuajiriwa).
Na pia yenye uwezo wa kuingiza pesa zaidi na kukupa muda wa kufanya mambo mengine nje ya kazi.
Msaada tafadhali kwa anayezifahamu.
Well i think i can answer your question
since i too faced the same scenario years
before.I'll try to keep it short and simple.

IMAGE of A DOCTOR :You can do a lot of
social welfare work.You are kind of god
wherever you live.You will be in the good
book of many people.Respect will follow
you everyday everywhere.There is no
doubt about it.

IMAGE of AN ENGINEER:You will not
find respect you will have to earn it doing
something worthy and extraordinary.You
are just an individual.You may or may not
get a chance to work directly for the
welfare of the people.Chances are less.But
let me tell you any social service is
worthy of respect and honour.But the
medical servants own a little more
because they are people who save
lives.Imagine you are dying and somebody
saves you.

PERSONAL LIFE FOR A DOCTOR :It is
hectic,painful and stressful.imagine
yourself fighting death everyday and
saving lives and sometimes failing which
takes a toll on you. It scrapes away your
soul unless you are strong
hearted.Hospital is not a fun place.You
have to have a lot urge in you to become a
doctor and must be willing to sacrifice
your fun ,pleasure many a time. As for
money you will start earning at a later age
and can keep earning until your old
age.you have to be a lot more
studious,diligent and hard working.

PERSONAL LIFE OF AN ENGINEER:It is
all fun & pleasure and doesn't have to be
under a damocles sword all the time. You
know your negligence or failure wont be
taking a life.Besides engineering life is
very enjoyable.You can give time to your
family.You will be capable of earning
early of age and can also earn at par with
a doctor.
P.S. I have written all these keeping in
view you dont waste your life in either
case and i have judged from a common
platform.
besides you must understand yourself
what you want and what you are willing
to sacrifice whatever the cost.
 

huyo architecture hata CO hamkuti kwa fursa za kutengeneza mkwanja
 
Thank you boss.
 
Waulize Wasanifu Majengo (Architects) na Madaktari (MD) endapo wangewashauri watoto wao wasome kozi walizosoma.
 
Kazi ya udaktari ni ngumu na wito. Ndio maana wengi wamesoma udaktari lakini hawafanyi hizo kazi, hasa kazi ya kushughulikia wagonjwa hospitali .
Mazingira ya hospitali hayavutii kabisa .Mimi huwa nawaza sana kuhusu kwenda hospitali hata kama naumwa. Imagine kila siku unapofika ofisini unakuta foleni kubwa ya watu wanakusubiri uwahudumie, mwingine anaingia analojia, mwingine anapiga chafya, hujakaa sawa anakuja mwingine yuko mahututi
KWA UJUMLA TU HII KAZI NI YA WITO ZAIDI. USIKIMBILIE KWA SABABU YA URAHISI WA KUPATA AJIRA
 
Yes ni kweli.
 
Tuliokosa wito wa udaktari tukaamua kujibanza kwenye ufamasia tuko tunafuatilia vizuri huu mjadala.

Sent from my WAS-TL10 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…