Jamani sisi ni Great Thinkers, sasa udini wa nini hapa? Tunazungumzia kimya cha waarabu kwa mauaji yanayofanywa na Bashir el Assad kwa watu wake, tutafakari ki Great Thinker ili tuelewe kulikoni kimya hicho na si kuanza kukosoana kiimani.Dini ya jumlisha iko wapi au hakuna mafuta ndo maana hawasemi
Jamani sisi ni Great Thinkers, sasa udini wa nini hapa? Tunazungumzia kimya cha waarabu kwa mauaji yanayofanywa na Bashir el Assad kwa watu wake, tutafakari ki Great Thinker ili tuelewe kulikoni kimya hicho na si kuanza kukosoana kiimani.
Ukweli ni kwamba Marekani inalipa fadhila kwa Hayati Baba wa kijana huyu ambaye alikubuhu kwa ukibaraka kwa Marekani na nchi za magharibi kiasi cha kuitwa 'Rafiki yetu'. Binafsi sioni sababu za kumwadhibu Gadaffi eti kwa mauaji ya watu wake wakati huyu Assad anafanya hivyohivyo bila kukemewa!
The Arab League asked the U.N. Security Council Saturday to impose a no-fly zone over Libya to protect civilians from air attack by forces of Moammar Gadhafi's embattled government, giving crucial backing to a key demand of the rebel forces battling to oust the Libyan leader.
"The Arab League asks the United Nations to shoulder its responsibility ... to impose a no-fly zone over the movement of Libyan military planes and to create safe zones in the places vulnerable to airstrikes," said a league statement released after the emergency session.Foreign ministers from the 22-member Arab bloc, meeting in Cairo, also left the Libyan leader of more than 40 years increasingly isolated, declaring his government had "lost its sovereignty."
They also appeared to confer legitimacy on the rebel's interim government, the National Libyan Council, saying they would establish contacts with the umbrella group and calling on nations to provide it with "urgent help."
League Secretary-General Amr Moussa stressed in remarks afterward that a no-fly zone was intended as a humanitarian measure to protect Libyan civilians and foreigners in the country and not as a military intervention.
At least Saudia na Turkey wamevunja ukimya na wamemkemea Al Assad aache kuua watu wake. Bado mufti wetu sijui anangoja niniKwenye nchi kavu, Iran inapakana na moja tu ya kiarabu ambayo ni Iraq. Imetenganishwa kwa bahari na nchi kama Saudia, UAE, Qatar, Oman na Bahrain. Hizi zote ni nchi za Kiarabu. Majiran zake wengine ni Turkey, Turkmenistan, Afghanistan, Pakistan na Azerbaijan. Hizi pamoja na Iran wenyewe sio waarabu, ila ni largely Shia muslims.
Sababu za kuandamana kwa kweli siwezi kujua. Hasa kwa vile sipo Tanzania kwa sasa. Ila kwa uzoefu wangu, siku zote kwenye maandamano, kunakuwepo na watu wachache wenye uchungu fulani na wanajua ukweli fulani. Hao wachache, husukumwa na uchungu ukweli huo, na si lazima uchungu huo uwe umesababishwa na jambo wanalo andamania. Mara nyingine huwa ni kwamba wamepata sababu ya kuandamana na kuonesha uchungu wao ambao unaweza kuwa ulisababishwa na jambo lingine kabisa. Wachache hao wanye uchungu wa kweli, wakiwa na ushawishi mkubwa, basi hupata wafuasi ambao ndio wanakuwa sehemu kubwa ya wanaoandamana.
Lakini kama nilivyosema, siwezi kujua hasa maandamano ya Tz kwa vile sipo TZ kwa sasa.
Nenda zako!.Bakwata mko wapi, wananchi wasio na hatia wanachinjwa na Assad lakini mmekaa kimya.
US akiingia dunia tunaandamana kumlaani sasa waarabu acheni wanyoshane wenyewe wamalizane huyo ASSAD ni shetani mkubwa ila hakemewi inauma.
Mnataka US iingilie kila mzozo hawana development plans za home America???
Hii inadhibitisha kuwa US akijiweka kando raia moto huwawakia
Nenda zako!.
Ungeuliza kuhusu ukimya wa ulimwengu kutokana na uovu wa NATO na US huko Libya na kwengineko ningekuelewa.