W wingman7 JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 346 Reaction score 78 Jan 8, 2013 #1 habari wanaJF nauliza kua ntapata wapi aquariam ya kufugia samaki na pump yake na inaweza kua bei gani?
habari wanaJF nauliza kua ntapata wapi aquariam ya kufugia samaki na pump yake na inaweza kua bei gani?
W Wanji Member Joined Jul 28, 2010 Posts 64 Reaction score 4 Jan 10, 2013 #2 Nenda Orca Deco Nyerere Road karibu na Toyota (international motor mart). Au Upanga barabara ya Ali Hassan Mwinyi karibu na Palm Beach. Utaona duka liko kwenye container liko barabani kabisa. wingman7 said: habari wanaJF nauliza kua ntapata wapi aquariam ya kufugia samaki na pump yake na inaweza kua bei gani? Click to expand...
Nenda Orca Deco Nyerere Road karibu na Toyota (international motor mart). Au Upanga barabara ya Ali Hassan Mwinyi karibu na Palm Beach. Utaona duka liko kwenye container liko barabani kabisa. wingman7 said: habari wanaJF nauliza kua ntapata wapi aquariam ya kufugia samaki na pump yake na inaweza kua bei gani? Click to expand...