Aquariam ya samaki

Aquariam ya samaki

wingman7

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
346
Reaction score
78
habari wanaJF nauliza kua ntapata wapi aquariam ya kufugia samaki na pump yake na inaweza kua bei gani?
 
Nenda Orca Deco Nyerere Road karibu na Toyota (international motor mart). Au Upanga barabara ya Ali Hassan Mwinyi karibu na Palm Beach. Utaona duka liko kwenye container liko barabani kabisa.

habari wanaJF nauliza kua ntapata wapi aquariam ya kufugia samaki na pump yake na inaweza kua bei gani?
 
Back
Top Bottom