Aptitude test ya Alistair group

Nimefanya aptitude ya Hawa jamaa inaenda Wiki ya 3 sijapata jibu.Kwa waliowahi kufanya naomba kujua wanatoaga majibu ya aptitude ndani ya mda gani?na wanatoaga majibu kwenye email au wanapiga simu??
 
Mbona wanatoaga ndani ya 3 za kazi kupitia email yako, kama ukifeli sahau kuomba tena kwao labda kama utaratibu wameubadilisha
 
Nimefanya aptitude ya Hawa jamaa inaenda Wiki ya 3 sijapata jibu.Kwa waliowahi kufanya naomba kujua wanatoaga majibu ya aptitude ndani ya mda gani?na wanatoaga majibu kwenye email au wanapiga simu??
Nimeangalia hakuna kitu
Duuuh! Mim huwa wanaishia kusema tumeipata CV yako tuu! Af kimyaaa hata aptitude test situmiwi sijui nina mkosi gani Yan. Hata NMB ni hiv hiv
 
Ushafanya mkuu? Natakiwa nifanye kesho mkuu sasa hapa nawaza itakuaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Aptitude ya hawa jamaa ni pasua kichwa nilishafanya mara mbili, mara ya kwanza waksema nilikaribia kupass hivo wakanipa chance ya pili, hapa bwana niliwashirikisha washikaji wawili mimi wa tatu, mmoja ana Diploma kutoka kilichokuwa chuo cha umeme Kidatu na Degree ya IT open university, wa pili ana degree ya nutritiona and Food science SUA, Nami nina graduate wa Tourism, mzee mtanange ukaanza wazee tukakomaa, majibu kuja nimekula ban, nikasema asante Alistair, asante INDEED recruitment agency UK
 
ulifanya mwaka gani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom