Nimeona duration ni one hour sasa sijajua watauliza niniWakuu kama kuna mtu yoyote alishafanya aptitude test ya alistair anijuze inakuaje
Kivipi mkuu. Ushawahi piga hii kitu? Nipe ABCs mkuuIyo kitu ni nyoko
Ya hesabu tu mkuu au kuna mambo mengine pia. Haya mambo huwa sipendi aiseeMaswali ya hesabu,
Ushafanya mkuu? Natakiwa nifanye kesho mkuu sasa hapa nawaza itakuajeNi rahisi sana kitahajinyao ila kichwa chako kiwe chepesi kufikiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi mno,ujue kizungu na hesabu za kuchakata ubongo zisizo na formula. Nishapass hizo test.Wakuu kama kuna mtu yoyote alishafanya aptitude test ya alistair anijuze inakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa na mtu pepembeni au ulikuwa mwenyewe? Calculator na computer ya pili vinahitajika?Ni rahisi mno,ujue kizungu na hesabu za kuchakata ubongo zisizo na formula. Nishapass hizo test
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifanya mwenyewe mkuu, calculator muhim, computer lazima na internet yenye speed nzuri tu inatakiwa kukamilisha zoezi hilo.Ulikuwa na mtu pepembeni au ulikuwa mwenyewe? Calculator na computer ya pili vinahitajika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipiga zile za Alistair mkuunilifanya mwenyewe mkuu, calculator muhim, computer lazima na internet yenye speed nzuri tu inatakiwa kukamilisha zoezi hilo.
Hahaha noma sanaTest zao huwa ni generic yaani ukifeli mara moja basi ndo nitolee hiyo wanakupiga ban kabisa kwenye database yao usiombe tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Post financial specialist mkuu mozambique huko kwenye miradi ya gesi. Hapa maisha yashakuwa sio inabidi kujiongeza. Kila kitu kishakuwa kigumu hapa. DahUnaomba post gan?
Ilikuaje baadae. Ulipata kazi?Bila kujiongeza hutoboi
Humo kuna kiingereza kigumu kigumu balaa
Vihesabu vya kitoto vya form two
Multiple choice questions halafu majibu full kufanana
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliomba business development but nna back ground ya finance so wakanipanga junior accountant japokua mwishoni walimchukua dogo mmoja graduate.
Wanaweza kweli kukupeleka huko ??Post financial specialist mkuu mozambique huko kwenye miradi ya gesi. Hapa maisha yashakuwa sio inabidi kujiongeza. Kila kitu kishakuwa kigumu hapa. Dah
Sent using Jamii Forums mobile app