YHK geneous
Senior Member
- Jun 24, 2017
- 188
- 122
Ungekuwepo pale ungefaulu mtihani wote, watu wametoka wakawa wanatoa majibu ya maswali.
Jamaa hawawezi kufanya ishu ya interview. Too many unnecessary procedures. Watu wamekalishwa juani masaa.
Ungekuwepo pale ungefaulu mtihani wote, watu wametoka wakawa wanatoa majibu ya maswali.
Jamaa hawawezi kufanya ishu ya interview. Too many unnecessary procedures. Watu wamekalishwa juani masaa.
Toka Jmos mi nimeitwa ila email nimeona leo so sijafanikiwa kwendaWakuu hivi hawa wanaweza kutoa majibu lini?
Kwahiyo tuseme majibu tayari au nimeelewa tofautiToka Jmos mi nimeitwa ila email nimeona leo so sijafanikiwa kwenda
Tayari bossKwahiyo tuseme majibu tayari au nimeelewa tofauti
Kwa hyo mlifanya written na oral au?Washatoa
Watakuwa wanatoa kwa walio toboa passmark Yao tuHere jamani mi mbona sijapata chochote sio msg wala email, au wanatoa majibu kwa awamu?
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kuna mshikaji aliitwa huko, walikua kama 30 hivi kwa position ya operations officer. Interview haikuzidi dakika 10 na ipo straight forward. Wameambiwa majibu ni baada ya wiki mbili hivi.jamani mlioenda kwenye oral mlikuwa wangapi ili tupate experience kwaajili ya kesho tafadhali
Jamani mi mbona sijaambiwa chochote au ndio nimemwagwa kinyakimya, ila tcb sijawazoea hivi hata kama umefeli Huwa wanatumia msg kukujulisha hii mbona inanipa mashaka kidogo au ndio tulioingia ile jioni makaratasi yetu waliyachana sikuile Bila ya kusahisha
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
[/QUOlife ain't fair deal with itTE]
Duuh wametoa kwa njia gani? Maana hatujielewi kama tumo au tulishamwagwaYale majibu washatoa tayar?? Ile bank ni nomaa full connection
Mie sielewi wengine wanasema tayari wengine Bado , tumuelewe nani Sasa??Duuh wametoa kwa njia gani? Maana hatujielewi kama tumo au tulishamwagwa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hiyo Interview ilishafanyika, tulitumiwa email and sms kuwa notified kwa ajili ya interview.Mie sielewi wengine wanasema tayari wengine Bado , tumuelewe nani Sasa??