April Mosi

April Mosi

mdawi

Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
20
Reaction score
4
Wana JF salam sana, nawakumbusha kuweni makini leo ni April Mosi ni sikukuu ya wajinga huwa inaisha saa 4 asubuhi. Alamsiki
 
Wana JF salam sana, nawakumbusha kuweni makini leo ni April Mosi ni sikukuu ya wajinga huwa inaisha saa 4 asubuhi. Alamsiki

Umesikia kuwa raisi wa awamu ya tatu amezimia ghaflaakati akiwa arumeru na hivi sasa ameshaletwa mjini hapa kwa helicopter ya CDM, Mustakabali wa hali yake utaelezwa kesho asubuhi saa mbili TBC na mweshimiwa lusinde
 
Back
Top Bottom