K Karibu Sana JF-Expert Member Joined Mar 14, 2020 Posts 991 Reaction score 1,774 Nov 19, 2020 #21 App ya Robert Amsterdam mbona ina 12 millions [emoji16][emoji23]
Hechinodemata JF-Expert Member Joined Sep 16, 2016 Posts 1,487 Reaction score 3,371 Nov 19, 2020 #22 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Behaviourist said: Millard Ayo ni pandikizi la CCM acheni kufuatilia habari zake Click to expand...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Behaviourist said: Millard Ayo ni pandikizi la CCM acheni kufuatilia habari zake Click to expand...
T14 Armata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2017 Posts 13,901 Reaction score 47,080 Nov 19, 2020 #23 Behaviourist said: Millard Ayo ni pandikizi la CCM acheni kufuatilia habari zake Click to expand... CCM inakufanya uwe mpuuzi sasa kila sehemu unaitaja utadhani umejiunga jana.
Behaviourist said: Millard Ayo ni pandikizi la CCM acheni kufuatilia habari zake Click to expand... CCM inakufanya uwe mpuuzi sasa kila sehemu unaitaja utadhani umejiunga jana.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Nov 19, 2020 #24 T14 Armata said: CCM inakufanya uwe mpuuzi sasa kila sehemu unaitaja utadhani umejiunga jana. Click to expand... Kama Millard Ayo ametajwa hapa na kuna la kuzungumza kuhusu yeye kwa nini lisizungumzwe?
T14 Armata said: CCM inakufanya uwe mpuuzi sasa kila sehemu unaitaja utadhani umejiunga jana. Click to expand... Kama Millard Ayo ametajwa hapa na kuna la kuzungumza kuhusu yeye kwa nini lisizungumzwe?
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,757 Reaction score 6,293 Nov 19, 2020 #25 Behaviourist said: Magufuli huyuhuyu ambae ameifanya SADC kuwa ya hovyo hadi magaidi wa ISIS wanatamalaki au unamzungumzia Magufuli yupi?[emoji848][emoji848][emoji848] Click to expand... Sasa shule za bure na magaidi wa ISIS kuna uhusiano gani hapa?
Behaviourist said: Magufuli huyuhuyu ambae ameifanya SADC kuwa ya hovyo hadi magaidi wa ISIS wanatamalaki au unamzungumzia Magufuli yupi?[emoji848][emoji848][emoji848] Click to expand... Sasa shule za bure na magaidi wa ISIS kuna uhusiano gani hapa?
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Nov 19, 2020 #26 mbongo_halisi said: Sasa shule za bure na magaidi wa ISIS kuna uhusiano gani hapa? Click to expand... Kwani Magufuli siyo amri jeshi mkuu?au yeye ni hodari tu katika kutoa elimu ya bure?
mbongo_halisi said: Sasa shule za bure na magaidi wa ISIS kuna uhusiano gani hapa? Click to expand... Kwani Magufuli siyo amri jeshi mkuu?au yeye ni hodari tu katika kutoa elimu ya bure?
Wiwachu JF-Expert Member Joined Nov 13, 2018 Posts 809 Reaction score 926 Nov 19, 2020 #27 Mpesa, tigo, nmb,
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,757 Reaction score 6,293 Nov 21, 2020 #28 Behaviourist said: Kwani Magufuli siyo amri jeshi mkuu?au yeye ni hodari tu katika kutoa elimu ya bure? Click to expand... Sasa wewe unataka nini haswa ili ufurahishwe? Ukiona vipi mfuate Lissu majuu ukapakatwe na wewe?
Behaviourist said: Kwani Magufuli siyo amri jeshi mkuu?au yeye ni hodari tu katika kutoa elimu ya bure? Click to expand... Sasa wewe unataka nini haswa ili ufurahishwe? Ukiona vipi mfuate Lissu majuu ukapakatwe na wewe?
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Nov 21, 2020 #29 mbongo_halisi said: Sasa wewe unataka nini haswa ili ufurahishwe? Ukiona vipi mfuate Lissu majuu ukapakatwe na wewe? Click to expand... Unajua kusoma?Wapi nimesema kuwa nahitaji kufurahishwa?
mbongo_halisi said: Sasa wewe unataka nini haswa ili ufurahishwe? Ukiona vipi mfuate Lissu majuu ukapakatwe na wewe? Click to expand... Unajua kusoma?Wapi nimesema kuwa nahitaji kufurahishwa?