IshaLubuva
JF-Expert Member
- Dec 4, 2008
- 250
- 12
Kung'amua ndo nn?Salamu wana JF.
Mini natumia simu ya Tecno P5. Naomba mwenye kufahamu application ambayo itaniwezesha kung'amua majina ya wenye simu simu wanaonipigia ambao sijawaandika majina yao kwenye simu yangu, tafadhal.
TRUE CALLER ndiyo yenyewe, japo unategemea network kwa hiyo kama huna access ya internet haitaweza kujua jina
Nenda app store utaipata na utajua jinsi ya kutumia.[/QUOT
Ok
Kung'amua ndo nn?
Nenda app store utaipata na utajua jinsi ya kutumia.[/QUOT
Ok
Shukran